Investo
JF-Expert Member
- May 19, 2020
- 557
- 1,200
Hii hela sio ndogo,tatizo linakuja huyo mtu anataka umwambie akafanye nin,alafu yeye aende kufanya afanikiwe hapo hapo na km wengi ukiwashauli Waka feli au kukutana na misuko suko wanasema bro kanipoteza 🤣😆Madini haya mkuu, kuna dgo ana 2M ananiulza afanye nn ndio kamalza chuo SAUT yan mm mwenyew sjui hata nmwambie nn 2M naona kdg mno kwakwel.