Hii hela sio ndogo,tatizo linakuja huyo mtu anataka umwambie akafanye nin,alafu yeye aende kufanya afanikiwe hapo hapo na km wengi ukiwashauli Waka feli au kukutana na misuko suko wanasema bro kanipoteza 🤣😆