Kijana mwenzangu una akiba kiasi gani benki?

Christopher Wallace

JF-Expert Member
Joined
Dec 8, 2015
Posts
1,479
Reaction score
3,788
Kijana mwezangu mambo vipi? Katika mishe zako za utafutaji fanya vyote ila usikose akiba ya hela.

Tutafute pesa kwa juhudi zote ila pia tukumbuke na kuzitunza.

Unaweza kutunza pesa bila ya kuwa na tamaa ya matumizi yasiyo ya lazima?

Kama ni ndio tuambie akiba yako inaweza kufika kiasi gani cha pesa?

IMG_9587.jpeg
 
Kijana mwezangu mambo vipi? Katika mishe zako za utafutaji fanya vyote ila usikose akiba ya hela. Tutafute pesa kwa juhudi zote ila pia tukumbuke na kuzitunza.

Unaweza kutunza pesa bila ya kuwa na tamaa ya matumizi yasiyo ya lazima? Kama ni ndio tuambie akiba yako inaweza kufika kiasi gani cha pesa?View attachment 2881850
Kwa tarehe hii chini ya 100k🤔 plus madeni ya kutoshatosha😝
 
Kijana mwezangu mambo vipi? Katika mishe zako za utafutaji fanya vyote ila usikose akiba ya hela.

Tutafute pesa kwa juhudi zote ila pia tukumbuke na kuzitunza.

Unaweza kutunza pesa bila ya kuwa na tamaa ya matumizi yasiyo ya lazima?

Kama ni ndio tuambie akiba yako inaweza kufika kiasi gani cha pesa?

View attachment 2881850
Akiba uzeeni, ujanani ni kupambana, madeni kila Kona, ukiwa na akiba namna hii hutoboi mapema.
 
Humu Wengi Wanadaiwa Songesha, nipige tafu, Salary Advance, n.k
Wanaendekeza Uchawi tu humu.
Wapambanaji tupo, ila tu mipango na fursa halali zinatupitia kando, ila tukiamua kutafuta kivyovyote, hayo madeni ya songesha, nivushe, bustisha na akina kausha damu tupa kulee🤸‍♂️🤸‍♂️🤸‍♂️🤸‍♂️
 
Last four digits 9215

Back
Top Bottom