Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 24,665
- 25,388
kwa umri wako that's very nice amount,Kijana mwezangu mambo vipi? Katika mishe zako za utafutaji fanya vyote ila usikose akiba ya hela.
Tutafute pesa kwa juhudi zote ila pia tukumbuke na kuzitunza.
Unaweza kutunza pesa bila ya kuwa na tamaa ya matumizi yasiyo ya lazima?
Kama ni ndio tuambie akiba yako inaweza kufika kiasi gani cha pesa?
View attachment 2881850
never give up, always aim higher you can make it even bigger and more better 🐒