Accumen Mo
JF-Expert Member
- May 15, 2022
- 18,036
- 39,882
Angalia vizuri kabisa na simu nyingine ,kioo cha simu kwa nje nikaonekana.Money speaks one language if you save me today I will save you tomorrow.
Hongera kwa akiba ila hio pesa ungewekeza sehemu ikuletee faida na uwe na emergency fund hata 10m. Ungekuwa mbali sana.
Alafu by the way hivi nmb app siku hizi wanaruhusu screen shot haina maana kupost picha kuonesha watu kwamba unahela kiasi gani,kuna watu wanahela kibao lakini hawapendi kelele.