Christopher Wallace
JF-Expert Member
- Dec 8, 2015
- 1,479
- 3,788
Kwa tarehe hii chini ya 100k🤔 plus madeni ya kutoshatosha😝Kijana mwezangu mambo vipi? Katika mishe zako za utafutaji fanya vyote ila usikose akiba ya hela. Tutafute pesa kwa juhudi zote ila pia tukumbuke na kuzitunza.
Unaweza kutunza pesa bila ya kuwa na tamaa ya matumizi yasiyo ya lazima? Kama ni ndio tuambie akiba yako inaweza kufika kiasi gani cha pesa?View attachment 2881850
Akiba uzeeni, ujanani ni kupambana, madeni kila Kona, ukiwa na akiba namna hii hutoboi mapema.Kijana mwezangu mambo vipi? Katika mishe zako za utafutaji fanya vyote ila usikose akiba ya hela.
Tutafute pesa kwa juhudi zote ila pia tukumbuke na kuzitunza.
Unaweza kutunza pesa bila ya kuwa na tamaa ya matumizi yasiyo ya lazima?
Kama ni ndio tuambie akiba yako inaweza kufika kiasi gani cha pesa?
View attachment 2881850
Wapambanaji tupo, ila tu mipango na fursa halali zinatupitia kando, ila tukiamua kutafuta kivyovyote, hayo madeni ya songesha, nivushe, bustisha na akina kausha damu tupa kulee🤸♂️🤸♂️🤸♂️🤸♂️Humu Wengi Wanadaiwa Songesha, nipige tafu, Salary Advance, n.k
Wanaendekeza Uchawi tu humu.
Kijana mwezangu mambo vipi? Katika mishe zako za utafutaji fanya vyote ila usikose akiba ya hela.
Tutafute pesa kwa juhudi zote ila pia tukumbuke na kuzitunza.
Unaweza kutunza pesa bila ya kuwa na tamaa ya matumizi yasiyo ya lazima?
Kama ni ndio tuambie akiba yako inaweza kufika kiasi gani cha pesa?
View attachment 2881850
Naamini katika mapambano yako hujawahi kukwama moja kwa moja.Picha linaanza Akaunti ya benki yenyewe sijui inafunguliwa vipi!
Sijivunii kwa hilo, niko nyuma ya wakati na napambana sana ila basi tu
Hakika.bahati nzuri wenye akiba na salio la maana hawana haja ya kuweka hadharani.
Tangazo hilo limekaa kimkakati tuliosoma Havana tumeelewabahati nzuri wenye akiba na salio la maana hawana haja ya kuweka hadharani.
Laba wale mafisadi waliovimbiwa tu ndio watajijeurisha kwa kuwa wamekwiba na wamejisahau kuwa kila mmoja angekwiba hata walivyokwiba wasingekuwa navyo😁bahati nzuri wenye akiba na salio la maana hawana haja ya kuweka hadharani.