Kijana mwenzangu;
1. Hofu inamaliza Ndoto zako
2. Wivu unapoteza Amani yako
3. Hasira inaondoa Busara zako
4. Uzembe unaua Malengo yako
5. Uwoga unasitisha Ujasiri wako
6. Majivuno yanakuondolea marafiki
Pia soma: Kijana kama unataka kuishi maisha marefu, zingatia haya machache