D deblabant JF-Expert Member Joined Oct 7, 2022 Posts 2,650 Reaction score 4,065 Jul 20, 2024 #1 Kijana mwenzangu; 1. Hofu inamaliza Ndoto zako 2. Wivu unapoteza Amani yako 3. Hasira inaondoa Busara zako 4. Uzembe unaua Malengo yako 5. Uwoga unasitisha Ujasiri wako 6. Majivuno yanakuondolea marafiki Pia soma: Kijana kama unataka kuishi maisha marefu, zingatia haya machache
Kijana mwenzangu; 1. Hofu inamaliza Ndoto zako 2. Wivu unapoteza Amani yako 3. Hasira inaondoa Busara zako 4. Uzembe unaua Malengo yako 5. Uwoga unasitisha Ujasiri wako 6. Majivuno yanakuondolea marafiki Pia soma: Kijana kama unataka kuishi maisha marefu, zingatia haya machache
MIKIDADI MIKIDADI Member Joined Aug 15, 2024 Posts 15 Reaction score 18 Sep 3, 2024 #2 umetisha sana nilizan kurasa 6