Kijana najituma sana kwa huyu mama, lakini bahili!

Alaaa!! Basi komaa mwana. Ongeza juhudi katika mambo ya sita kwa sita, kuwa 'romantic' zaidi, na mfurahishe kwa lolote atakalo na utafikia malengo yako. Hilo jimama ni fursa ya dhahabu!
Yaani mkuu huwezi amini....pindi nikutanapo na huyu mama nakuwa mtiifu na mnyenyekevu,mara nyingi huwa napenda kumwita jina la madam (mwenyewe anafurahi sana pindi nimuitapo hivyo!) So kwa vile this time kaniambia kunakitu atanifanyia,nimeamua kuwa mpole na ninasubiri mwisho wa picha. Ila ikipita miezi miwili hajanitoa! basi nalala mbele!
 
Wadada wa kibongo wakipata vibabu vya kizungu wanafanya kweli...angalia akina Mwamvy, Mange, and co. Hao washatoka kimaisha hao. Sasa kwa nini wakaka nao wakipata fursa za mijimama yenye mshiko walaze damu?
Hii logic ya wapi mkuu you can do better NN, Mwamy na Mange wamepata vinavyoitwa na kinadada 'vichwa empty' yaani hawana wake sasa huyu jimama la dogo lina mme!
 
Hii logic ya wapi mkuu you can do better NN, Mwamy na Mange wamepata vinavyoitwa na kinadada 'vichwa empty' yaani hawana wake sasa huyu jimama la dogo lina mme!

Kwa jinsi inavyoelekea huyo jimama na mumewe wana ndoa jina tu. Kiuhalisia hawana ndoa. Same difference.
 
Kwani jamaa kasema anataka kukwangua kabisa?
Hahaha!

Kwa jinsi inavyoelekea huyo jimama na mumewe wana ndoa jina tu. Kiuhalisia hawana ndoa. Same difference.
The way you have delt with this topic i have to ask you to declare your intrest in this matter lol!

1. are you in a similar situation,
2. are you planning to be in a similar arrangement,
3. were you previously in a similar set-up ?
 
I am a relationship capitalist.
 
Edson watoto wa siku hizi wana laana, imagine sijui hata yukoje kule loooo,na wamama wengine tangu sixteen wanafanya hawachoki??????????????????????

hehehe Shantel, haizeeki ile! unaweza ukaiona kizee ukiiangalia lakini abdalla kiguru akishakuingia ndani unasahau hata kama ulizaliwa kupitia pale!

Gonjwa limeingia pabaya wajameni.

gudi nite
 
fanya kazi ya halai upate zako zikutoe kimaisha. Mke wake umlie na hela zake bado unazitaka tena zikutoe kimaisha? Vijana wa mjini bana....kutaka makubwa huku huyawezi.<br />
Yaani unapigia mahesabu apartments na yards za mwenzio? Poor you?
Sasa mkuu watu tukale wapi? kama kazi tunafanya sana lakini kipato tunachopata bado hakitoshelezi kwa maisha haya! na ukizingatia maisha
yenyewe yalivyopanda kwa sasa kila kitu kipo bei juu!. Tukiiba mnasema mtatuchoma moto,tukicheza na madili ya peni mfano wa EPA mnatuita mafisadi.....sasa lijimama limejipendekeza mnasema oooooh mara hivi mara vile! sasa jamani tutokee wapi?
 
Kisa cha kuuza utu wako sababu ya pesa ni nini? girlfriend wako umemwambia kama unakazi part time ili mfanye mikakati wote? au na yeye umemwambia atafute lizee ili mchange pesa badae
 
hehehe Shantel, haizeeki ile! unaweza ukaiona kizee ukiiangalia lakini abdalla kiguru akishakuingia ndani unasahau hata kama ulizaliwa kupitia pale!

Gonjwa limeingia pabaya wajameni.

gudi nite
Mkuu hii sentensi yako imenikumbusha mbali sana walah
 
<br />
<br />

Unapenda vya bei ghali na hela huna?

Endelea kupanga bajeti kwa pesa za kwenye mifyko ya wenzio tu....

halafu wewe subiri bana lisapraizi si keshakuahidi?
 
Kisa cha kuuza utu wako sababu ya pesa ni nini? girlfriend wako umemwambia kama unakazi part time ili mfanye mikakati wote? au na yeye umemwambia atafute lizee ili mchange pesa badae
Yaani sis huwezi amini hawa vijana wetu wa siku hizi wame-hit bottom low kuna kijana namfahamu nikaambiwa huwa anamuuza GF wake yaani unaongea nae anamtuma GF,sikuamini nikamtuma mdogo wangu aende akajaribu kwa kumwambia kuna mgeni anahitaji mwanamke,akaniambia ni kweli hata bei anapanga yeye na saa zingine anamleta na kumsubiri waondoke wote MWEE!
 
Kisa cha kuuza utu wako sababu ya pesa ni nini? girlfriend wako umemwambia kama unakazi part time ili mfanye mikakati wote? au na yeye umemwambia atafute lizee ili mchange pesa badae
Hapo kwenye bold naomba niwe mkweli pia! kusema kweli kwa sasa sina girl friend yoyote zaidi ya huyu mama,ila before nilikuwa na demu mmoja hivi,lakini nimeshampiga chini maana nilikua naona kama ananizingua tu.

Wapendwa, hapa nipo kitandani na ninajisikia kulala kwa sasa! anywaz have a good nite and something nice all of you my guys!
 
wewe umekwisha kijana, umekwama kwa jimama huna wa kukunasua, nakushauri tafuta msichana ili uuondokane na hiyo adha, wapo pia wasichana single kibao wana pesa zao wala sio tegemezi, wanataka tu partner mtasaidiana kujenga maisha, sipati picha hilo limama limelala kitandani linakusubiri uliparamie, jisura lake limejaa mafutaaa, pua inang'aa looooo amka ndugu uepukane na majanga yanayokusubiria mbeleni
 
Wewe ni Gold Digger. Mimi naona chakula, vinywaji na malazi anayotoa ni malipo tosha kwako hasa ukizingatia kuwa wote mnafurahia ngono kwa usawa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…