Kijana najituma sana kwa huyu mama, lakini bahili!

Unampenda huyo kikongwe wako,usimdhalilishe bure, pesa sijui unataka ya nini na wewe wafanya kazi,ridhika na kile ulicho nacho kijana yatakutokea puani

Unampenda huyo kikongwe wako,usimdhalilishe bure, pesa sijui unataka ya nini na wewe wafanya kazi,ridhika na kile ulicho nacho kijana yatakutokea puani

Pesa ya nini? Hiyo pesa si ni extra income....au hutaki Mshikachuma awe tough in wallet?

Halafu nishakujua mshikachuma ngoja kesho ofisini

Pesa ya nini? Hiyo pesa si ni extra income....au hutaki Mshikachuma awe tough in wallet?
Ye si kasema handsome, pesa inaenda kwa mwenye simple look tu, anatofauti gani na wale machangu wanaojiuza? na angekuwa anataka pesa angeshasepa hapo kuna kingine anafaidi hawaambii tu

Subiri tu mmewe astukie mchezo akufumue na bomba(mguu wa kuku) kichwani(Peel ur cap)....Ehhhh MAriooooooooooo Jitume Mariooooooo

kufaidi mfaidi wote halafu mmama akulipe? Tena Akukamue zaidi akuache bila hata hela ya sabuni!

mshika chumaaaaaaaa......hivi hiyo age ya 55-60 huyo mama yuko fiti kiaje...anayawea mambo kweli mbona umri huo umemtupa mkono sana........anaweza kutikisa kweli mkuu......

NB:aliwah kukwambia ana watot
o wangapi?...
Mkuu hapo kwenye bold siwezi kumwanika hapa,itakuwa nimevukisha mipaka.
Ila kwa upande wa watoto ana wawili tu....si unajua hizi familia bora huwa awazai sana kama siye wengine?

Ye si kasema handsome, pesa inaenda kwa mwenye simple look tu, anatofauti gani na wale machangu wanaojiuza? na angekuwa anataka pesa angeshasepa hapo kuna kingine anafaidi hawaambii tu

Mwenyewe kasema wana wine and dine halafu kaahidiwa zawadi. Jimama na lenyewe janja hilo...usikute limeshapiga mahesabu likaona huenda Mshikachuma anaweza kusepa wakati wowote hivyo limekuja na gia ya zawadi ili kumfanya jamaa aendelee kuwepo akisubiri hiyo zawadi...

KUMBUKA:

1. ww una lengo fulani na huyo mama( la kula pesa), na wakati yy ana lengo la starehe na ww. hence its a noncoincidence of objectives, hamtofika mbali, soon mtakamatwa tu.

2. Mke wa mtu ni sumu awe wa KIGOGO au wa KIGODA, Ukishikwa ujue na wewe utashikishwa UKUTA. What goes around comes around. hv umeoa ww? Unajua uchungu wa MKE? chukulia ndio ww ni kigogo fulani, then mkeo ANAPUMULIWA na mtu mwingine. Uchungu wake ni mkubwa kuliko wa M/ke anaezaa.

3. Dunia ya ss wanaumwe hawajisifii kuchapa madem wa hadhi gani au wenye vyeo gani....Issue ni kuwa inabidi uwe muangalifu na maisha yako,stick to the one.........., magonjwa ni mengi sana.

CHUKUA HATUA

Ni wazi huyo bibi ndo muhitaji, ila kwa mshikachuma kuwa readily available whenever he is needed ni tatizo pia....
Hebu ajipandishe bei, siku libibi likimwita auchune aone kama hajaulizwa anataka nini? ....lol!

Daah huyo bibi wa mshikachuma safi sana....hii ndo dawa ya viserengeti boys vipenda miteremko!

Aendelee kusubiria zawadi kama atapata, kama anazitaka aanze kumwambia sasa sio anaenda tu ,halafu NN unatetea sana na wewe umekamatika nini

Ooh yeah..jamaa anachotakiwa kufanya ni ajifanye yuko bize...jimama lazima litalegeza msimamo

Daah huyo bibi wa mshikachuma safi sana....hii ndo dawa ya viserengeti boys vipenda miteremko!

Mpaka hapo walipo Mshikachuma ndo anayefaidi zaidi. Maana jimama linam-wine and dine...linalipia vyumba vya hoteli na usikute hata usafiri linatoa. Kwa jinsi nilivyomsoma Mshikachuma ni kwamba yeye hagharimiki kwa chochote kile zaidi ya kumega.

Anachotaka cha ziada ni cash money. Kwa hiyo unaweza ukaona kuwa linachofanya jimama kuwa ni safi lakini ukienda kwa kina zaidi unaona bado kuwa anayefaidika zaidi bila kuingia gharama kubwa katika huo mpango (kwa sasa) ni Mshikachuma.

Aendelee kusubiria zawadi kama atapata, kama anazitaka aanze kumwambia sasa sio anaenda tu ,halafu NN unatetea sana na wewe umekamatika nini

Na wewe subiri tu ufikie huo umri...utatafuta janki wako na utamhudumia kila kitu.

tehe the tehe! bhabha bhaha! nadhani huo ndoushauri anaositahili!

Dining and winning iko ndani ya bajeti ya jimama, kwa hiyo haimpi tabu nahisi(anatumia ili amtumie mshikapembe)

Sasa mshikapembe yeye expectations zake had never been met....so far so bad (lol serengeti boys wakipataga mashuga mami wanajuaga ndo wameshatoka)

kwa hiyo hata ku dine na ku wine bado haoni kama anafaidi

Mkuu kuna rafiki yangu wa jirani sana....baada ya kumpa full story alipenda kumwona huyu mama,na mie siku moja nikamuonesha kiaina na akamjua bila ya huyu mama kushitukia. Wazo alilonipa huyu mshikaji ni eti nimtapeli huyu mama kama ile movie fulani ya kinaigeria....eti nimrecord video kisha nitishie kupeleka kwa mme wake,eti hapo mama ni lazima akate mpunga wa maisha. Kwahiyo bado niko njia panda na roho hainitumi kufanya huo umafia

hebu fanya hivo, mi nilikushauri utuwekee na clip kabisa hapa JF we unafanya ajizi....

Ngoja ukutane na watu walopinda utajuta na kavideo kako.....

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…