Kijana najituma sana kwa huyu mama, lakini bahili!

Looooo wewe ni mzaire au,unaimba bendi gani

Usifanya hivyo bana. Wewe endelea kufaidi tu hizo treatment za jimama. Kwa kutumia mfano wa mpira wewe hadi sasa unaongoza 3-1! Unachotakiwa kufanya sasa ni kuanza kuchukua cash money juu ya hizo huduma zingine unazopata.

Halafu hebu piga mahesabu yako vizuri uone kiasi cha fedha unacho save kwa kujivinjri na hilo jimama. Unaweza ukajikuta unaanza kujenga hivi hivi kimzaha.....

Usifanya hivyo bana. Wewe endelea kufaidi tu hizo treatment za jimama. Kwa kutumia mfano wa mpira wewe hadi sasa unaongoza 3-1! Unachotakiwa kufanya sasa ni kuanza kuchukua cash money juu ya hizo huduma zingine unazopata.
We nawe ni kijipu uchungu.mbona unamshauri mwenzio vibaya NN atakamatwa vibaya huyu

We nawe ni kijipu uchungu.mbona unamshauri mwenzio vibaya NN atakamatwa vibaya huyu

Ushauri wangu hauna ubaya wowote bana....huu ndo wakati wa kuitumia vizuri hii fursa aliyoipata. Si rahisi kupata mijimama ya kama hili la jamaa. Mingi ya mijimama ya huo umri huwa ishafikia menopause na libido yao huwa ni karibu na zero kabisa.

Sasa ukilipata kama hili ambalo libido yake bado inadai kwa nini uzubae?

Khaaa Nzagamba mbaya wewe....lol!

Mkuu kuna baadhi ya watu hapa wanafikiria kuwa mimi nazungumzia laki moja au millioni moja. Mkuu huyu mama na mume wake wana maapartment za kupangisha kama 6 hivi hapa mjini na yote ni ya kufa mtu! na wana mayard ya kuuza magari kama mawili hivi hapa mjini,na miradi hii yote anasimamia huyu mama,kwakuwa mzee yupo busy na mambo ya kioffici.....so ninaposema nahitaji pesa sizungumzii laki moja au millioni moja! kwani hiyo pesa teyari ninayo na si mshamba wa pesa kiasi hicho. Mimi kwa huyu mama nazungumzia pesa kuanzia milllion kadhaa na kuendelea,ili nifanye kitu cha kunitoa kimaisha!

fanya kazi ya halai upate zako zikutoe kimaisha. Mke wake umlie na hela zake bado unazitaka tena zikutoe kimaisha? Vijana wa mjini bana....kutaka makubwa huku huyawezi.

Yaani unapigia mahesabu apartments na yards za mwenzio? Poor you?

Alaaa!! Basi komaa mwana. Ongeza juhudi katika mambo ya sita kwa sita, kuwa 'romantic' zaidi, na mfurahishe kwa lolote atakalo na utafikia malengo yako. Hilo jimama ni fursa ya dhahabu!

Ukiona hababaiki kukupa hizo milioni ujue mmepangwa, kwa hiyo ukiringa anaenda kwa mwingine, sio lazima wewe, na kama kweli unataka hzo pesa kuanzia kesho usipokee simu yake, akipiga mwambie uko busy una matatizo makubwa, au una shoti huko kazini,kwa hiyo akili yako haiko sawa kufanya mapenzi,,kama kweli anakupenda atakupa, na kama hakupendi atakuchunia anahamia kwa konda wa daladala ambae atampa af 20 tu

Mjomba wasifuji wa ngono na pombe hawailaumu CCM hata siku moja, these are the people who blindly vote for it!

mshika chumaaaaaaaa......hivi hiyo age ya 55-60 huyo mama yuko fiti kiaje...anayawea mambo kweli mbona umri huo umemtupa mkono sana........anaweza kutikisa kweli mkuu......

NB:aliwah kukwambia ana watoto wangapi?...

STATUS YA UKIMWI?

Wadada wa kibongo wakipata vibabu vya kizungu wanafanya kweli...angalia akina Mwamvy, Mange, and co. Hao washatoka kimaisha hao. Sasa kwa nini wakaka nao wakipata fursa za mijimama yenye mshiko walaze damu?

Mshika chuma angalia usije shikishwa mchuma tu, maana wababa wao wanakuwaga wakali kama mbogo
Kwakuwa tayari ni Mshikachuma nadhani hiyo transition ya kuwa 'Mshikabati' itakuwa smooth,namsikitikia sana huyu dogo na NN ajitayarishe kumhudumia hospitali baada ya mme wa jimama kumkodia wale wahuni wa 'Hailali' toka Tanga.

It's now or never if he doesn't seize and capitalize on this opportunity that's in front of him.

...Sasa ukilipata kama hili ambalo libido yake bado inadai kwa nini uzubae?
NN baada ya kusoma posts zako nyingi najuwa wewe ni borntown na utakuwa ulisikia kile kisa miaka ileee cha yule jamaa anayeuza magari aliyekodiwa 'Hailali' baada ya kutembea na mke wa njemba la Bandari na kuonywa mara mbili,sasa muepushe huyu rafiki yako wa hapa JF.

Kwakuwa tayari ni Mshikachuma nadhani hiyo transition ya kuwa 'Mshikabati' itakuwa smooth,namsikitikia sana huyu dogo na NN ajitayarishe kumhudumia hospitali baada ya mme wa jimama kumkodia wale wahuni wa 'Hailali' toka Tanga.
We mwache tu, eti pesa, na kama ameweza kutoka na wewe kwa kukutamanisha pesa.kesho ukimtolea nje anatooka na mwingine tena ambaye ataona anashida ya bia na chakula tu

Wadada wa kibongo wakipata vibabu vya kizungu wanafanya kweli...angalia akina Mwamvy, Mange, and co. Hao washatoka kimaisha hao. Sasa kwa nini wakaka nao wakipata fursa za mijimama yenye mshiko walaze damu?
wale wameolewa kabisa na kuwa na haki na kila kitu sio kuwa third party then unataka ukwangue vya ndani

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…