Kijana najituma sana kwa huyu mama, lakini bahili!

Kijana najituma sana kwa huyu mama, lakini bahili!

Hapo kwenye bold mkuu. Nimesema siko chini ya miaka 29 na siko zaidi ya 35. Mkuu mie siyo mtoto sema mambo ya mjini na maisha ndiyo yanatupelekea kufanya mambo kama haya

at list umekuwa honest.
i like t

SASA KAKA KUMUKA AKUNA UNACHOPANDA APO....NI KWAMBA UNAJICHIMBIA KABURI..MAGONJWA MENG NA MUMEWE AKIJUA ATAKUGECHA.

AKUNA JEMA JUU YA SWALA LAKO
AMKA .TAFUTA DEMU WA SAIZI YAKO NA MUNGUA ATAKUBARIKI

UWEZ KUFANIKIWA KWA KUUZA MWILI KAKANGU..NI LAANA
FANYA KAZ ZA HALALI NA MUNGUA TABARIKI KAZ ZA MIKONO YAKO

USIFUNGWE NA PESA ZA UYO MAMA APO NI KM SHETAN TU ANAKULAGAI UMSUJUDIE ILI AKUPE ULIMWENGU WOTE

AMKA...huo ni mtego..km ela ya kula unayo .nauli unapata..basi komaa taratibu utapata unavyodream lakin kwa njia iyo ya kuuza dudu ili upatiwe.....dah itakula kwako .autapata.

HAKUNA MEMA KWA SWAGA IZI ZA KISHETAN.
ACHA KABISA,

NAKUONEA HURUMA SANA NA

NAKUPENDA SANA
 
Duh, mwanaume suruali..lakini haidhuru we endeleza libeneke mpaka mumewe atakapobaini chezo na kukuitia wahuni wakuoneshe vitongoji vyoooote vya jiji.
 
Dunia ina mambo hiii kweli mimecheka leo jamani khaa
USIONE WANAUME WANAPITA BARABARANI WAMEVAA SURUALI UKADHANI WOTE NI WATU DAAAH
 
Heshima mbele wana jamvi!. Hii ni true story na siyo tungo.

Ni mara chache sana huwa napita kwenye jukwaa hili la MMU....jukwaa la siasa ndiyo maskani yangu hasa.
Ila kutokana na issue ambayo inanichanganya kidogo,nimeona si mbaya kwa leo nikipita huku ili kupata maoni kidogo juu ya swala hili.
Binafsi mie ni kijana,siko chini ya miaka 29 na sijafikia miaka 35. Kama mnavyojua mambo ya mjini katika mizunguko ya hapa na pale
siku moja nikakutana na lijimama (mke wa mzito fulani) yaani ni lijimama la nguvu,limepanda hewani,maji ya kunde. Umri wake nahisi ata
kuwa kwenye 55 au 60. Tokea tumeanza mahusiano huu ni mwezi kama wa 7 hivi, lakini kitu ambacho kinanisikitisha ni hubahiri wa huyu
mama kwenye pesa. Yaani ananipeleka kwenye hotel za bei na analipia room kuanzia elfu 50 hadi 80,nakula na kunywa ninachokitaka na
analipa bili yote! lakini linapokuja swala la kumuomba anisaidie pesa kiasi fulani' basi hapo huwa mbogo na mkali....na hiyo pesa hanipi.
Kama kujituma tuwapo kwenye 6x6 najituma sana hadi mwenyewe anaridhika,lakini likija swala la mimi kutaka pesa mama anakuwa bahili.
Sasa najiuliza, maisha haya mpaka lini? ukizingatia kitu ninachokifanya ni zambi kwa mungu! na mke wa mtu ni sumu. Lakini majuzi kaniam
bia eti kuna kitu cha maana sana atanifanyia na nitafurahi sana....lakini simwamini kutokana na ubahili wake (lakini ni family yenye mshiko)

Naombeni ushahuri wenu jamani! - Je ni kweli iko siku atanitoa au ananitumia tu kama condom?.

Huyu mama anakutumia kukidhi mahitaji yake
Mpige chini kabla hajakuambukiza upupu
 
Inawezekana keshakupiga limbwata! maana ulitakiwa uachane na hiyo dili siku ya kwanza tu. Kwa vile amefungua kidogo hiyo kitu, tembeaaaaaa usigeuke.
 
Usikremu wewe !! nafkiri ulikuwa unasikiaga kuwa mashugamami ni yanagawa mshiko sana na vijana wengi wanatoka kwa style hiyo, hapo umenoa, kama vipi katafute jimama lingine, na next utakalolipata litakuwa halilipi guest wala kukulisha
 
Kuna watu wanatudhalilisha sana wanaume kwa matendo yao.
Sasa wewe wafanya nae ngono ili akupe hela au wampenda?
I despise wale wote watembeao na wake/waume wa watu.
 
Heshima mbele wana jamvi!. Hii ni true story na siyo tungo.

Ni mara chache sana huwa napita kwenye jukwaa hili la MMU....jukwaa la siasa ndiyo maskani yangu hasa.
Ila kutokana na issue ambayo inanichanganya kidogo,nimeona si mbaya kwa leo nikipita huku ili kupata maoni kidogo juu ya swala hili.
Binafsi mie ni kijana,siko chini ya miaka 29 na sijafikia miaka 35. Kama mnavyojua mambo ya mjini katika mizunguko ya hapa na pale
siku moja nikakutana na lijimama (mke wa mzito fulani) yaani ni lijimama la nguvu,limepanda hewani,maji ya kunde. Umri wake nahisi ata
kuwa kwenye 55 au 60. Tokea tumeanza mahusiano huu ni mwezi kama wa 7 hivi, lakini kitu ambacho kinanisikitisha ni hubahiri wa huyu
mama kwenye pesa. Yaani ananipeleka kwenye hotel za bei na analipia room kuanzia elfu 50 hadi 80,nakula na kunywa ninachokitaka na
analipa bili yote! lakini linapokuja swala la kumuomba anisaidie pesa kiasi fulani' basi hapo huwa mbogo na mkali....na hiyo pesa hanipi.
Kama kujituma tuwapo kwenye 6x6 najituma sana hadi mwenyewe anaridhika,lakini likija swala la mimi kutaka pesa mama anakuwa bahili.
Sasa najiuliza, maisha haya mpaka lini? ukizingatia kitu ninachokifanya ni zambi kwa mungu! na mke wa mtu ni sumu. Lakini majuzi kaniam
bia eti kuna kitu cha maana sana atanifanyia na nitafurahi sana....lakini simwamini kutokana na ubahili wake (lakini ni family yenye mshiko)

Naombeni ushahuri wenu jamani! - Je ni kweli iko siku atanitoa au ananitumia tu kama condom?.

Kweli wewe ni MSHIKACHUMA l.o.l. Unapenda vya bure wewe kaka vipiiii.....?
 
QUOTE=mshikachuma;2446687]Heshima mbele wana jamvi!. Hii ni true story na siyo tungo.

Yaani ananipeleka kwenye hotel za bei na analipia room kuanzia elfu 50 hadi 80,nakula na kunywa ninachokitaka na
analipa bili yote! lakini linapokuja swala la kumuomba anisaidie pesa kiasi fulani' basi hapo huwa mbogo na mkali....na hiyo pesa hanipi.
Kama kujituma tuwapo kwenye 6x6 najituma sana hadi mwenyewe anaridhika,lakini likija swala la mimi kutaka pesa mama anakuwa bahili.
Sasa najiuliza, maisha haya mpaka lini?

Naombeni ushahuri wenu jamani! - Je ni kweli iko siku atanitoa au ananitumia tu kama condom?.[/QUOTE]

Najibu kwenye bold ....Hoteli za 50 na 80 ni za kawaida tu usizuzuke sana eti hizi ni hoteli za bei..

Maisha haya mpaka lini ni hadi utakapoamka usingizini na klutambua thamani ya utu wako

Ushauri kwako ni wwe kupima na kufanya maamuzi sahihi kwani unavyoonekana ukikurupuka kumuacha kwa jinsi unavyopenda vya bure hutakawia kushikishwa ukuta. Kwamba anakutumia kama kondomu nadhani kwake kondomu ina hadhi zaidi.... By the way nikupongeze mkuu maana miaka kumduu mama wa miaka 60 katika umri wako si jambo dogo ..yataka moyo kweli kweli na ni wachache wenye ujasiri kama wako. binafsi siwezi.

Kumbe bado kuna wanaume wajinga. Hili nalo linahitaji katiba mpya?. Wewe mwili wako una thamani ya shilingi ngapi? Umemfanyia kaz gan il akulipe? Hawa ndio nyie mnasifu ngono na pombe halafu unadai ccm inakuonea. Ungekuwa karibu yangu ningekutandka kofi.

Umri wa huyu mleta mada ni kati ya 29 na 35. Yaani si umri wa kutegemea kumridhisha mama mwenye pesa ili alipwe. Yaani hii nchi tuna safari ndefu sana kama jamii. Ndio maana hata hiyo katiba mpya ikiandikwa, kama jamii bado ina mawazo mgando kiasi hiki haitatusaidia chochote.

Mabadiliko yanatakiwa kuanzia kwenye jamii tunamoishi, jamii inayotuzunguka!
 
Ongeza ujuzi anaweza kukutoa siku moja usikate tamaa labda bado anakupimia si unajua vijana wa siku hizi
 
huyo siyo kwanza cha turin,mke wa mtu na bado hachezeshi!mtupe tu!kuna dada zako mitaa flani wakali,siyo wazee,kisu kipo halafu full kuchezesha kama sura mauzo na body mwake ni PM nikutupie mmoko!
 
Umri wa huyu mleta mada ni kati ya 29 na 35. Yaani si umri wa kutegemea kumridhisha mama mwenye pesa ili alipwe. Yaani hii nchi tuna safari ndefu sana kama jamii. Ndio maana hata hiyo katiba mpya ikiandikwa, kama jamii bado ina mawazo mgando kiasi hiki haitatusaidia chochote.

Mabadiliko yanatakiwa kuanzia kwenye jamii tunamoishi, jamii inayotuzunguka!
Usikute wanalingana na huyo anayemwita mama, miaka 30 na ushee unatakiwa uwe na family yako tayari, sio kujifanya serengeti hata userengeti huna, ni mzee mwenzake tu huyo mama
 
Back
Top Bottom