Kijana Peter Richard Mushi {Tosh} wa Kariakoo apotea kusikojulikana baada ya kupigiwa simu na mteja wake akampokee

Kijana Peter Richard Mushi {Tosh} wa Kariakoo apotea kusikojulikana baada ya kupigiwa simu na mteja wake akampokee

mirindimo

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2009
Posts
1,155
Reaction score
2,704

TAARIFA YA MTU ANAYETAFUTWA​


JINA: Peter Richard Mushi (Tosh)
UMRI: Miaka 35
KAZI: Fundi Simu
ENEO LA KAZI: Kariakoo, Mtaa wa Agrey, karibu na Akiba Bank.

TAARIFA ZA KUPOTEA:
Peter Richard Mushi (Tosh) alionekana kwa mara ya mwisho tarehe 13 Agosti 2026, majira ya mchana. Alipigiwa simu na mtu aliyedai kuwa ni mteja, akamuomba wakutane katika eneo la China Plaza.

Tangu hapo, Peter hakurejea tena ofisini kwake na hajapatikana tena kwa njia ya simu.

UKIMUONA AU KUWA NA TAARIFA ZAKE:​

Tafadhali wasiliana na familia kupitia namba zifuatazo:

📞 0756 340 825
📞 0788 026 663

Tafadhali sambaza taarifa hii ili kusaidia familia kumpata Peter Richard Mushi (Tosh).

A31E5CB7-E4AC-48BE-9209-12857AB3A04D.jpeg


Pia soma:
Video ya CCTV camera ikionyesha utekaji wa Peter Richard Mushi Kariakoo
 
vipi hakupatikana mpaka leo??????????????????

ndio maana nilikuja na huu uzi.

 
Back
Top Bottom