JINA: Peter Richard Mushi (Tosh) UMRI: Miaka 35 KAZI: Fundi Simu ENEO LA KAZI: Kariakoo, Mtaa wa Agrey, karibu na Akiba Bank.
TAARIFA ZA KUPOTEA:
Peter Richard Mushi (Tosh) alionekana kwa mara ya mwisho tarehe 13 Agosti 2026, majira ya mchana. Alipigiwa simu na mtu aliyedai kuwa ni mteja, akamuomba wakutane katika eneo la China Plaza.
Tangu hapo, Peter hakurejea tena ofisini kwake na hajapatikana tena kwa njia ya simu.
UKIMUONA AU KUWA NA TAARIFA ZAKE:
Tafadhali wasiliana na familia kupitia namba zifuatazo:
📞 0756 340 825
📞 0788 026 663
Tafadhali sambaza taarifa hii ili kusaidia familia kumpata Peter Richard Mushi (Tosh).
Leo tunaadhimisha kumbukumbu ya Hayati Samora Machel, Rais wa kwanza wa Msumbiji, huku tukimkumbuka Mwalimu Julius Kambarage Nyerere ambaye aliweka misingi ya nchi na umoja kama Baba wa Taifa.
Maono haya yanajenga picha ya kiongozi ajaye ambaye atakamilisha ndoto za maendeleo na ukombozi wa kiuchumi kwa Tanzania, Jumuiya ya Afrika Mashariki, na bara zima la Afrika.
1/ Nchi yetu imepita katika mikono ya viongozi wakuu walioacha alama zao. Lakini, historia inajiandaa kumzaa kiongozi mmoja wa kipekee—Rais ajaye ambaye hatakuwa tu mtawala, bali "Baba wa Wananchi". Tofauti na...