Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
Biashara ya mpira wa miguu inalipa sana.
Unajazwa upepo na wewe mjinga unafula na kusema tumeujaza uwanja. Wewe hujaujaza uwanja bali wenye akili wamekujaza uwanjani kisha wanaondoka na mamilioni.
Somebody mnayemwita msemaji wa timu yenu anawaambia tusikubali lazima tujaze uwanja nyie kwa uboya wenu mnasema ndio lazima tuujaze.
Mkifungwa mnataka kunywa sumu huku matajiri wanapitisha mgao wanunue magari mapya.
Eti jezi ka t-shirt tu unauziwa elfu 50 maskini huku umepanga kachumba kamoja Magomeni au Keko kunakonuka kinyesi.
Kama timu ikiwajaza upepo na kuwauzia jezi watu 500000 hapo timu (watu wajanja) itakusanya billions of money.
Na app mnalipia, kadi mnalipia.
Ngumi mnapigana na timu hasimu huku wenye akili wanabadili magari kwa pesa zenu. Eti mnabishana jersey ipi kali.