makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 31,583
- 92,670
Nakala ya kopi iwekwe kwenye fremu ikawekwe maktaba kuu ya taifa, nyi gine kwenye viwanja vyoote vya burudaniTatizo lako ni kutokujua kutenganisha kati ya MAKING na SPENDING.
Tunatafuta pesa (Making) hili tutumie kwa yale tunayoyapenda (Spending) kwenye context ya mada hawo wanaopata pesa wanafanya Making ila sisi tunafanya SPENDING baada ya kufanya Making sehemu nyengine pia na hao wanaoingizaa pesa uwanjano nao pia wanatumia hizo pesa sehemu nyenginge (SPENDING).
Hakuna maana ya kutafuta pesa bila kuzitumia, nieleze hao wanaopata pesa kujaza uwanja wanazipeleka wapi.
Hapo wamiliki wa hiko ki board na nguo wanaingiza pesa ila Mo kapoteza pesa alizopata uwanjani, na hao Walsingham pesa kwa Mo hap wataenda kujaza uwanja.
View attachment 3070797
Kifupi shabiki wa mpira, na anaeenda bar kutumia, anaenununua ama kuhonga totozi ili agegede hawana tofauti, wanatumia pesa zao kuburudika.