Kijana shituka, mpira wa miguu ni biashara ya watu

Nakala ya kopi iwekwe kwenye fremu ikawekwe maktaba kuu ya taifa, nyi gine kwenye viwanja vyoote vya burudani

Kifupi shabiki wa mpira, na anaeenda bar kutumia, anaenununua ama kuhonga totozi ili agegede hawana tofauti, wanatumia pesa zao kuburudika.
 
Hao wakitajirika au wakipata hasara kipesa hayatuhusu sisi tukipata utajiri wa FURAHA unatosha mkuu!. Kweli mpira wa miguu ni biashara, biashara ni watu, na sisi ndiyo watu na biashara yetu ni FURAHA
 
Dunia hii kila kitu biashara... Sisi ndio wateja
 
Akili ya mleta mada👇👇
 

Attachments

  • download.jpeg
    7.9 KB · Views: 3
Hivi kina Ahmed Ally, Ally kamwe,Haji mantra Zaka zakazi,na Masau Bwire hawapo huku JF waje watuchambie mtu 😁🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…