Uchaguzi 2020 Kijana soma kwa makini tahadhari hii usije ukavunja sheria za Nchi

Uchaguzi 2020 Kijana soma kwa makini tahadhari hii usije ukavunja sheria za Nchi

Bwana Jela

Senior Member
Joined
Nov 25, 2019
Posts
131
Reaction score
655
20201005_065205.jpg


Ni ushauri wa bure, tumia mitandao ya kijamii vizuri
Usitukane, usidhalilishe Uchaguzi utapita Tanzania itabaki
 
CCM wanafanya ustaarabu, vyama vingine vina fujo
Hii barua haikupaswa kuandikwa na CCM.

Maana yenyewr imrjipimaje kuwa haijakosea ila wengine ndio wamekosea.

Ilitakiwa itolewe na independent institution iliyofanya external observation sio mchezaji
 
Mimi sina chama ila nikiangalia Ccm inapendwa sana na itashinda
'Kifinyo' kipo palepale endapo mtakimbia na masanduku ya kura ,tumechoka hatutaki ujinga safari hii.

Na uovu wenu 'mkiwa gizani' mnaopanga kuufanya Mungu atawapiga nao kizazi chenu
 
Yote ni sahihi ila haki na usawa vikiwepo hakuna mtu atakayevunja sheria, tatizo ni pale mmoja anavunja sheria na kanuni na achukuliwi hatua ila mwingine akigusa ufito fasta anakuwa mvunja sheria.
 
Inzi wa kijani katika ubora wake.ila mwaka huu ni mbaya kwenu.Fabio ka CHUMA LINAPITA.Mtungi,mahera,Siro,na bwana yao wanahaha.
T
 
Hii barua haikupaswa kuandikwa na CCM.

Maana yenyewe imejipimaje kuwa haijakosea ila wengine ndio wamekosea.

Ilitakiwa itolewe na independent institution iliyofanya external observation sio mchezaji
Hili nalo nonahitaji tochi mkuu? Mfano ni mgombea urais wa CHADEMA kushindwa kufanya kampeni na kuanzisha uana harakati, huu ni uvunjifu wa amani
 
Back
Top Bottom