Uchaguzi 2020 Kijana soma kwa makini tahadhari hii usije ukavunja sheria za Nchi

Uchaguzi 2020 Kijana soma kwa makini tahadhari hii usije ukavunja sheria za Nchi

Mimi kama kijana nitamchagua kiongozi anayejali maslahi yangu mimi kama mimi na maslahi ya taifa kwa ujumla.

1. Ajira
2. Uhuru wa kijieleza
3. Mafao
4. ahueni kwemye mkopo wa elimu ya Juu
5. Bima ya afya
6. Kuzingatia infalation kwenye ajira
7. Katiba- hapa kuna mengi sitaeleza
8.
 
View attachment 1590716

Ni ushauri wa bure, tumia mitandao ya kijamii vizuri
Usitukane, usidhalilishe Uchaguzi utapita Tanzania itabaki
Kuna mahali nimekusoma kuwa huna chama lakini kote nilikokuona naona una side na ccm
JamiiForums-440340684.jpg
 
Hao ma CCM ni wanafiki wakubwa, wana hubiri amani huku huko kwenye mikoti yao wameficha AK47, ikiwa full magazine.....
 
Mimi sina chama ila nikiangalia Ccm inapendwa sana na Magufuli anapendwa sana Ninaona dalili kuwa Ccm itashinda sana
CCM haijawahi kushinda uchaguzi zenji tangu 95, na huku bara CCM washapigwa 2010 na 2015 - sema tu hii Tume yetu huwa inawanyima ushindi wapinzani
 
Sio kweli kaka yangu mimi sina chama ila nikiangalia Ccm inapendwa sana na Magufuli anapendwa sana
Ninaona dalili kuwa Ccm itashinda kwa miaka mingi
CCM haijawahi kushinda uchaguzi zenji tangu 95, na huku bara CCM washapigwa 2010 na 2015 - sema tu hii Tume yetu huwa inawanyima ushindi wapinzani
 
View attachment 1590716

Ni ushauri wa bure, tumia mitandao ya kijamii vizuri
Usitukane, usidhalilishe Uchaguzi utapita Tanzania itabaki
Wewe ndiye yule jana ulikuja na id ya bia yetu.

Naona leo umekuja na bwana jela.

Mnahangaika nini wakati taasisi zote zipo chini yenu?

Kama hujui ni kuwa watanzania kwa sasa hawaitapigia kura ccm eti kwakua ina sera nzuri au inatenda vizuri kwenye kamapeni.

Watanzania hawataki kuiamini tena ccm maana wana hali ngumu na nyie mliwaahidi maisha bora kwa kila mtanzania
 
Mimi sina chama ila nikiangalia Ccm inapendwa sana na Magufuli anapendwa sana Ninaona dalili kuwa Ccm itashinda sana

Kila ukimuuliza kijana anasema atapigia Magufuli

Hahaaaa sasa mnaulizana vijana wa ccm mnategemea nini na chama kinawalisha.

Mimi ni kijana na simpigii kura yeye. Utasemaje kila kijana.?

Kuhusu kutangazwa mshindi wala sina shaka nalo hilo. Ila angalau atakua ameshajua kuwa watanzania wana hasira nao hivyo wataenda kujipanga ili wakirudi waonyeshe utofauti
 
Kuitanguliza tanzania mbeke ni kuunga mkono uvunjifu wa haki unaofanywa na ccm kama kutumia tume walioiteua wao, watu kubambikiwa kesi, wengine kuuwawa, watu kuzuiwa kutoa maini yao, kufungia vyombo vya habari na tukiacha jinsi mnavyonyanyasa watumishi wa serikali..., nikuambie tu hakuna marefu yasiyo na ncha
Asante kaka yangu tuitangulize Tanzania mbele
 
Back
Top Bottom