Uchaguzi 2020 Kijana soma kwa makini tahadhari hii usije ukavunja sheria za Nchi

Uchaguzi 2020 Kijana soma kwa makini tahadhari hii usije ukavunja sheria za Nchi

Wewe ndiye yule jana ulikuja na id ya bia yetu.

Naona leo umekuja na bwana jela.

Mnahangaika nini wakati taasisi zote zipo chini yenu?

Kama hujui ni kuwa watanzania kwa sasa hawaitapigia kura ccm eti kwakua ina sera nzuri au inatenda vizuri kwenye kamapeni.

Watanzania hawataki kuiamini tena ccm maana wana hali ngumu na nyie mliwaahidi maisha bora kwa kila mtanzania
Jizungumzie wewe mwenyewe usizungumzie Watanzani. Wacha kutulisha maneno.
 
Jizungumzie wewe mwenyewe usizungumzie Watanzani. Wacha kutulisha maneno.
Nisiwalishe maneno wewe na nani?
Si ungejizungumzia wewe?

Narudia tena nimesema watanzania. Kasoro wewe na wenzako wazee wa ndio kwa kila jambo
 
Nisiwalishe maneno wewe na nani?
Si ungejizungumzia wewe?

Narudia tena nimesema watanzania. Kasoro wewe na wenzako wazee wa ndio kwa kila jambo
Umeeleweka. Hata mkiwa wawili ni Watanzania. Subiri tar 28 mzabwe makofi.
 
Misingi ya Taifa hili ni ipi? Uchamadola unaolindwa na katiba mbovu ya hovyo kabisa na kushabikiwa na CCM. Ujamaa na kujitegemea imebakia jina tu. Haki itoke wapi unapowaengua wapinzani wako na kuwapiga magoli ya mkono kwenye mchakato wa kura. Kamusi inasema USHENZI ni kukosa USTARABU.
 
[emoji29] [emoji29] [emoji29] Bwana jela mpo mpaka humu?
 
Mimi sina chama ila nikiangalia Ccm inapendwa sana na itashinda

ccm ipo mpaka 2100 madarakani kutokana na polepole mwenyewe! kwa kifupi huu uchaguzi ni wasted, mpinzani wa ccm ni ccm wenyewe
 
nawaonea huruma upinzani, uchaguzi huu umepita kirahisi ivi! ccm kama kawa haturingi kupiga kura
 
Imekula kwenu.
Wizi wa kura sasa basi. Uonevu sasa basi.
Ubaguzi wa maendeleo sasa basi.
Tumeamua mabadiliko ni ukombozi kwa watanzania
IMG_20201005_081110.jpg
JamiiForums-1692704440.jpg
 
Back
Top Bottom