Uchaguzi 2020 Kijana soma kwa makini tahadhari hii usije ukavunja sheria za Nchi

Uchaguzi 2020 Kijana soma kwa makini tahadhari hii usije ukavunja sheria za Nchi

View attachment 1590716

Ni ushauri wa bure, tumia mitandao ya kijamii vizuri
Usitukane, usidhalilishe Uchaguzi utapita Tanzania itabaki
Yaliyo andikwa kwenye hii barua hayaendani na ukweli ulivyo. Na mbaya zaidi yameambatanishwa na picha ya mtu ambae wazanzibari wengi wanadai wamepelekewa mtalii (kijana wa mkuranga).
 
Mimi kama kijana nitamchagua kiongozi anayejali maslahi yangu mimi kama mimi na maslahi ya taifa kwa ujumla.


1. Ajira
2. Uhuru wa kijieleza
3. Mafao
4. ahueni kwemye mkopo wa elimu ya Juu
5. Bima ya afya
6. Kuzingatia infalation kwenye ajira
7. Katiba- hapa kuna mengi sitaeleza
8.
Uhuru wa kujieleza nani amekukataza?
 
Mkuu we so ulisema huna chama.
Keshasahau huyo,ni kama vile simu IPO kwenye corridal za Lumumba kila anayepita pale anaanzisha thread au anajibu hoja na kupita kwa ID hiyo hiyo bila kuangalia aliyetangulia kaandika/kasema nini.Hiyo ndiyo inaitwa inconsistency.
Huwezi kuamini hizi ID,moja yazo 24/7 inajibu kwa kila hoja negative kwa CCM,mbaya zaidi hoja inajibiwa kizembe kwa facts mbovu kama za STD IV failure.
 
Aliyendelea katika miaka 58 ya ccm ni viongozi wa ccm wenyewe siyo wananchi. Mkitaka nendeni vijijini ndipo utajua kama maendeleo yako kweli vijijini! Hali ya watu imezidi kuwa duni siku hadi siku!
 
View attachment 1590716

Ni ushauri wa bure, tumia mitandao ya kijamii vizuri
Usitukane, usidhalilishe Uchaguzi utapita Tanzania itabaki
Viongozi ndio ambao wamewatukana na kuwandhalilisha wananchi kwa miaka yao mitano ya ufalme

Na wananchi wakavumilia

Sasa imefika zamu ya wananchi kufanya maamuzi mbona wasivumilie hata hii miezi miwili tu?

Kwani wao roho zao hazilipi hazina uvumilivu?
 
Back
Top Bottom