Uchaguzi 2020 Kijana soma kwa makini tahadhari hii usije ukavunja sheria za Nchi

Jizungumzie wewe mwenyewe usizungumzie Watanzani. Wacha kutulisha maneno.
 
Jizungumzie wewe mwenyewe usizungumzie Watanzani. Wacha kutulisha maneno.
Nisiwalishe maneno wewe na nani?
Si ungejizungumzia wewe?

Narudia tena nimesema watanzania. Kasoro wewe na wenzako wazee wa ndio kwa kila jambo
 
Nisiwalishe maneno wewe na nani?
Si ungejizungumzia wewe?

Narudia tena nimesema watanzania. Kasoro wewe na wenzako wazee wa ndio kwa kila jambo
Umeeleweka. Hata mkiwa wawili ni Watanzania. Subiri tar 28 mzabwe makofi.
 
Misingi ya Taifa hili ni ipi? Uchamadola unaolindwa na katiba mbovu ya hovyo kabisa na kushabikiwa na CCM. Ujamaa na kujitegemea imebakia jina tu. Haki itoke wapi unapowaengua wapinzani wako na kuwapiga magoli ya mkono kwenye mchakato wa kura. Kamusi inasema USHENZI ni kukosa USTARABU.
 
[emoji29] [emoji29] [emoji29] Bwana jela mpo mpaka humu?
 
Mimi sina chama ila nikiangalia Ccm inapendwa sana na itashinda

ccm ipo mpaka 2100 madarakani kutokana na polepole mwenyewe! kwa kifupi huu uchaguzi ni wasted, mpinzani wa ccm ni ccm wenyewe
 
nawaonea huruma upinzani, uchaguzi huu umepita kirahisi ivi! ccm kama kawa haturingi kupiga kura
 
Hayo ni mambo ya uwongo mnanena kaka, acheni uwongo
Sasa mbona Magufuli aneshatangaza kuwanyima maendeleo wote watakao chaguwa wapinzani???. Au kwenu huo ndo uhuru usawa na haki?
 
Imekula kwenu.
Wizi wa kura sasa basi. Uonevu sasa basi.
Ubaguzi wa maendeleo sasa basi.
Tumeamua mabadiliko ni ukombozi kwa watanzania
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…