Bwana Jela
Senior Member
- Nov 25, 2019
- 131
- 655
- Thread starter
-
- #61
Imekula kwenu.
Wizi wa kura sasa basi. Uonevu sasa basi.
Ubaguzi wa maendeleo sasa basi.
Tumeamua mabadiliko ni ukombozi kwa watanzaniaView attachment 1591267View attachment 1591268
Hayo ni mambo ya uwongo mnanena kaka, acheni uwongo
[/QUOTE
Magufuli amesema mara nyingi kuwa hatopeleka maendeleo sehemu ambako watachagua mpinzani.
asante ChiefView attachment 1590716
Ni ushauri wa bure, tumia mitandao ya kijamii vizuri
Usitukane, usidhalilishe Uchaguzi utapita Tanzania itabaki
Yaliyo andikwa kwenye hii barua hayaendani na ukweli ulivyo. Na mbaya zaidi yameambatanishwa na picha ya mtu ambae wazanzibari wengi wanadai wamepelekewa mtalii (kijana wa mkuranga).View attachment 1590716
Ni ushauri wa bure, tumia mitandao ya kijamii vizuri
Usitukane, usidhalilishe Uchaguzi utapita Tanzania itabaki
Hii ni tahadharii au propaganda....View attachment 1590716
Ni ushauri wa bure, tumia mitandao ya kijamii vizuri
Usitukane, usidhalilishe Uchaguzi utapita Tanzania itabaki
Uhuru wa kujieleza nani amekukataza?Mimi kama kijana nitamchagua kiongozi anayejali maslahi yangu mimi kama mimi na maslahi ya taifa kwa ujumla.
1. Ajira
2. Uhuru wa kijieleza
3. Mafao
4. ahueni kwemye mkopo wa elimu ya Juu
5. Bima ya afya
6. Kuzingatia infalation kwenye ajira
7. Katiba- hapa kuna mengi sitaeleza
8.
View attachment 1590716
Ni ushauri wa bure, tumia mitandao ya kijamii vizuri
Usitukane, usidhalilishe Uchaguzi utapita Tanzania itabaki
Keshasahau huyo,ni kama vile simu IPO kwenye corridal za Lumumba kila anayepita pale anaanzisha thread au anajibu hoja na kupita kwa ID hiyo hiyo bila kuangalia aliyetangulia kaandika/kasema nini.Hiyo ndiyo inaitwa inconsistency.Mkuu we so ulisema huna chama.
Uhuru wa kujieleza nani amekukataza?
Mimi sina chama ila nikiangalia Ccm inapendwa sana na itashinda
Viongozi ndio ambao wamewatukana na kuwandhalilisha wananchi kwa miaka yao mitano ya ufalmeView attachment 1590716
Ni ushauri wa bure, tumia mitandao ya kijamii vizuri
Usitukane, usidhalilishe Uchaguzi utapita Tanzania itabaki