Kijana ufahamu usimpe na madhara yake ili ujiepushe

Inatakiwa tuje na #tag kabisa kuonesha msisitizo kwa hili..simp wanaaribu sana akili za hawa wa upande wa pili...mbaya zaid wanajiaribia wenyew...based on my experience...nilijifunza ila in hard way...nlipoona huu uzi ndo umenikumbusha
True. Saa hii unakutana na binti wa kawaida kabisa,ukimuapproach kitu cha kwanza kwenye akili yake ni kukutreat kama slave wake ili uanze kusimp kwake.

Hii mentality ni kutokana na idadi kubwa ya masimp waliotangulia kujenga mtazamo kuwa ili kuanza mahusiano na mwanamke lazima akutengenezee mazingira ya chenga chenga za kipuuzi na asiwe direct. Ila wakati yeye yupo indirect kwako anataka wewe uwe direct kwake kwa kufanya kile anachotaka.

Usimp ni mfumo ambao unatengeneza misingi ya hovyo hata kwaajiri ya ndoa.
 
Cha muhimu mleta uzi kuwa member mwaminifu wa CHAPUTA ili uondokane na shida ya wanawake. Haya maisha kila mtu ana namna yake ya kuyaishi.... pia kila mtu ana namna yake ya kupata papuchi ili mradi havunji sheria. Suala la mwanaume kupambania papuchi ni nature labda tu kama mtu ana matatizo binafsi hasa ya kiafya. Wewe kama kuna mwanamke alikutenda lipiza au samehe badala ya kuja kusimanga watu.
Kijana acha usimp. Unaona sasa kitu cha kwanza umewaza ni kuwa unaingia kwenye mahusiano ili kupata utupu wa mwanamke. Unaona namna umerogeka vizuri na kuwa chronic simp?

Sasa unaamini kuwa ili upate pussy "you must be a simp first" something i find very dump indeed. Why uwe so corrupted mentally kiasi hicho hadi uamini kuwa wewe kama mtoto wa kiume you have to bow down and pray for some pussy. Kwahiyo ndio goal yako hiyo ukiona wanawake?

Hivi unapajua hata Riverside kweli wewe? Unajua escorts websites, unajua hata namna ya kumfanya mwanamke uliyekutana nae leo leo akakuvulie nguo?

Hebu calibrate akili yako,usimp haujawahi kumpa ushindi wa kimaisha mwanaume yoyote yule hapa duniani. Muone Will Smith na utajiri wake ana pesa nyingi sana ila usimp unamfanya ashindwe kufurahia maisha yake na jamaa ni handsome angeweza ng'oa pisi kali balaa ila tazama namna anateseka, watoto wake wanavurugwa ,kisa ameng'ang'ania kusimp kwa janamke la hovyo (Jada Pinkett Smith).

Uliona siku ile kwenye tuzo za Oscar, Will Smith ilikuwa apewe tuzo kubwa sana ya heshima ya Oscar ila lile tukio la kumchapa kofi Chris Rock kisa tu Chris Rock kamtania mkewe utani wa kawaida kabisa ambao hata mtu angetaniwa mama yake asingekasirika ila yeye sasa Will Smith, mwanzo aliposikia utani akatoa kicheko kizuri kabisa ila mkewe alipomkata jicho hapo hapo akabadilika utadhani amepewa amri akaenda mchapa kibao Chris Rock.

Saa hii ina imemgharimu kila kona amejiharibia. Hapati kazi nzuri mpya sababu maproducer wanaogopa kuharibu kazi zao, ametoa nyimbo imebuma watu wanamtazama kama kituko, anakiongea kwenye Podcasts anaonekana kama kachanganyikiwa. Yote sababu ya usimp.

Endelea kutetea usimp one day utajifunza kwa gharama. Tunakutazama na tumeshakuonya tayari.
 
Sisi hatujakukatia tamaa, jitahidi uikane nafsi yako japo kwaajiri ya watoto wako. Achana na kusimp mzee. Kuacha kusimp haimaanishi kuacha kufanya mahusiano. Na hapa ndipo shida ilipo.

Kuacha kusimp maana yake ni kuingia katika mahusiano responsibly. Hivi hauoni raha unakuwa na mwanamke ambaye anakuheshimu kama vile akikupoteza maisha yake yataishia kwako?

Yaani upate mwanamke ambaye anajali zaidi kulinda na kutetea uchumi wako kuliko kuutumia wakati akitafuta mwanaume mwingine wa kureplace baadae.

Halafu usichojua ni kwamba sio kwamba ukiwa na hela hauta simp, utaendelea kusimp hata ukiwa billionaire shida ni kwamba utakuwa unakutana na wanawake ambao hawakuheshimu kila unapowafuata wanakuona kama kituko cha kuchezewa. So mwisho wa siku utaishia kununua mitumba kwa bei ya dukani na ipo out of fashion na out of quality plus ukivaa unaonekana live ni mshamba.

Unahisi ni ujanja ila wewe kama mwanaume inakuharibia na wanawake inawapa wrong impressions kuhusu wanaume.

Acha kusimp kijana. Fanya mahusiano kikawaida. Unaweza pata mama nzuri tu bila kusimp. Wanawake wanawachukia masimp ila wanawatumia tu kwa faida zao lakini moyoni hawapo wala akilini hawapo. Kataa kuwa simp.
Cha muhimu mleta uzi kuwa member mwaminifu wa CHAPUTA ili uondokane na shida ya wanawake. Haya maisha kila mtu ana namna yake ya kuyaishi.... pia kila mtu ana namna yake ya kupata papuchi ili mradi havunji sheria. Suala la mwanaume kupambania papuchi ni nature labda tu kama mtu ana matatizo binafsi hasa ya kiafya. Wewe kama kuna mwanamke alikutenda lipiza au samehe badala ya kuja kusimanga watu.
images (1).png
 
True. Saa hii unakutana na binti wa kawaida kabisa,ukimuapproach kitu cha kwanza kwenye akili yake ni kukutreat kama slave wake ili uanze kusimp kwake.

Hii mentality ni kutokana na idadi kubwa ya masimp waliotangulia kujenga mtazamo kuwa ili kuanza mahusiano na mwanamke lazima akutengenezee mazingira ya chenga chenga za kipuuzi na asiwe direct. Ila wakati yeye yupo indirect kwako anataka wewe uwe direct kwake kwa kufanya kile anachotaka.

Usimp ni mfumo ambao unatengeneza misingi ya hovyo hata kwaajiri ya ndoa.
Cc MamaSamia2025
 
View attachment 3451018
You will be fine.... you wil be fine.
 
True. Saa hii unakutana na binti wa kawaida kabisa,ukimuapproach kitu cha kwanza kwenye akili yake ni kukutreat kama slave wake ili uanze kusimp kwake.

Hii mentality ni kutokana na idadi kubwa ya masimp waliotangulia kujenga mtazamo kuwa ili kuanza mahusiano na mwanamke lazima akutengenezee mazingira ya chenga chenga za kipuuzi na asiwe direct. Ila wakati yeye yupo indirect kwako anataka wewe uwe direct kwake kwa kufanya kile anachotaka.

Usimp ni mfumo ambao unatengeneza misingi ya hovyo hata kwaajiri ya ndoa.
Kataa usimp tunza kibunda chako..hawa hawana shukran
 
Moderators naomba mnisaidie kuedit kichwa cha habari au heading ya uzi isome "Usimp sio Usimpe"
Kwahiyo hapa kijana anatofautisha vipi hiyo "usimp" na ukarimu kwa mpenzi au mke wake? Maana kuna vijana wamebeba mazima kana kwamba kuwasaidia wake au wapenzi wao ni fedhea. Unakuta kijana ana uwezo wa kumsaidia mtu wake ila hawafanyi hivyo kwa fikira za kwamba ni kutumikishwa.
 
Japo nadhani mwanaume anaweza kumsaidia kwa vyovyote vile awezavyo mke au mpenzi wake. Ila sio kukubali kuwa surbodinate, kuna vitu vya kipuuzi sana, et mwanaume anaogopa kuachwa, ndo anafanyishwa vitu vya kishamba.
 
Naona kijana unacheza na akili yangu, kumbe ulishakuwa mwanaharakati kitambo sana ila basi ulikuwa unanipima misuli😂😂😂 mizimu imenionyesha uzi wako ukiwa unatema nondo za kutosha.

Nimefurahi sana kujua kumbe kijana elimu unayo ila ulikuwa unamtest sensei kuona kama anajua kuzichapa ama vipi.

Huo apo uzi wako nimeushare usome kidogo kurefresh memory.
Cha muhimu mleta uzi kuwa member mwaminifu wa CHAPUTA ili uondokane na shida ya wanawake. Haya maisha kila mtu ana namna yake ya kuyaishi.... pia kila mtu ana namna yake ya kupata papuchi ili mradi havunji sheria. Suala la mwanaume kupambania papuchi ni nature labda tu kama mtu ana matatizo binafsi hasa ya kiafya. Wewe kama kuna mwanamke alikutenda lipiza au samehe badala ya kuja kusimanga watu.
 
Naona kijana unacheza na akili yangu, kumbe ulishakuwa mwanaharakati kitambo sana ila basi ulikuwa unanipima misuli😂😂😂 mizimu imenionyesha uzi wako ukiwa unatema nondo za kutosha.

Nimefurahi sana kujua kumbe kijana elimu unayo ila ulikuwa unamtest sensei kuona kama anajua kuzichapa ama vipi.

Huo apo uzi wako nimeushare usome kidogo kurefresh memory.

Hakuna haja ya kuwashambulia sana wanaume wenzetu. Mambo ni mengi kwenye hii dunia
 
Kwahiyo hapa kijana anatofautisha vipi hiyo "usimp" na ukarimu kwa mpenzi au mke wake? Maana kuna vijana wamebeba mazima kana kwamba kuwasaidia wake au wapenzi wao ni fedhea. Unakuta kijana ana uwezo wa kumsaidia mtu wake ila hawafanyi hivyo kwa fikira za kwamba ni kutumikishwa.
Nadhani nimegusia ila kwa juu juu sana namna gani kijana atajiengua kutoka kwenye usimp na kuwa mtu wa kawaida au tuseme gentleman kwa wanawake.

Mkeo lazima kuna mipaka ataijua kuhusu wewe na hata kutumia au kucheza na akili yako. So mfano,umeoa mkeo anaanza kuweka ndugu zake katika biashara yako na kuanza kutumia pesa zako kupeleka kwao kwa lengo la kuwasaidia. Anafanya jambo zuri ila halina maslahi katika uhusiano wenu. Why umruhusu afanye in the name of "ni mke wangu" au upendo?

Kwani wewe hauna ndugu huko vijijini wenye uhitaji wa pesa au ambao unaweza waleta mjini kuishi na wewe?

Vijana wanatakiwa kuzingatia kuwa hawatakiwi kuwa dhaifu na kubadili au kushape mipango yao na kutafuta mali kwaajiri ya kuwekeza yote kwa mwanamke ili waweze kupewa utupu ndipo waamini maisha na mahusiano yapo eneo hilo. Tutapoteza nguvu kazi nyingi sana kama taifa.

Wanatakiwa kuwa wakarimu kwa wanawake ila sio manipulative na pretenders wa kujali kulikopitiliza hadi wanakuwa tayari kuweka rehani mali,kazi,ajira, biashara,akiba zao na hata uhai kwa shukurani ya kupewa K na mahusiano.

Maisha hayaendi namna hiyo.

Nimeweka principles somewhere kwenye nyuzi zangu humo na kusisitiza watoto wa kiume kujijengea misingi imara ili wawe wanaume wa thamani na sio mabwege kama Aziz kii.

Umesikia mara ngapi wachezaji wa mipira huko majuu anatafuta mabilioni ya pesa akiyapata anayaweka rehani kwa mwanamke na mara wakifunga ndoa tu paap mwanamke anakengeuka na kutaka mgao. Wanaishia kusema mwanamke amebadilika hakuwa hivi. Hapana. Mwanamke hajabadika, ni wewe ulikuwa simp tokea mwanzo na sasa amekuonyesha ufala wa kuwa simp badala ya mwanaume serious.

Unamuona mtu kama Christian Ronaldo, anaishi na mwanamke lakini mali zake hazimhusu. Atapata kila anachotaka ila umiliki wa mali haumhusu ni za nini na yeye amesema ana mapenzi ya kweli ambayo hayaangalii mali.

Why mwanaume akilinda utu na mali zake anaonekana ni tatizo jamii ya leo ni kwasababu jamii hii ya leo ambayo inaendeshwa kike kike inataka awe simp imtumie kwa faida zisizo msaidia yeye.
 
Hakuna haja ya kuwashambulia sana wanaume wenzetu. Mambo ni mengi kwenye hii dunia
Hakuna anaemshambulia mtu hapa. Tunakemea tabia ambayo ina madhara. Au unafurahia ukisikia kijana amejinyonga chuoni baada ya kumfumania demu wake.

Au kijana ameuza shamba la wazazi wake na mifugo kisha akatokomea kusikojulikana na demu wake, au ukiona mwanaume mwenzako anagongewa mkewe na anaishi kwa depression na anampatia mwanamke mahitaji yote, au ukiona mwanaume anatetea mwanamke abusive tu kwasababu anataka kuonekana ni shujaa wake.

Hivi vinakufurahisha kwa namna yoyote ile?

Au labda haujui maudhui ya hii kampeni ya tokomeza usimp inalenga kutokomeza tabia gani?🤔

Wewe kama unahela ukaamua kwenda kumpatia mwanamke kama sehemu ya charity movement yako au mbinu za uvuvi unaweza usione ni tatizo ila upande wa pili vipi huyo dada unaemrubuni umemuwazia hisia zake na muda wake, je kwann usitafute mwanamke mzuri atakae kukubali ufurahie maisha na umpe sasa hizo pesa kwa uhuru? Au kama unatafuta utelezi si wapo wale wadada wanaojiuza au wadangaji,piga hao mnaelewana unaweka pesa mezani unapiga unaendelea na ratiba zako. Si ndio?

Nadhani labda bado una struggle kuelewa maana halisi na matumizi ya neno Simping.
 
Back
Top Bottom