Zemanda
JF-Expert Member
- Jan 10, 2021
- 10,999
- 23,540
- Thread starter
- #61
Kabisa. Umeiweka vizuri sana hapaJapo nadhani mwanaume anaweza kumsaidia kwa vyovyote vile awezavyo mke au mpenzi wake. Ila sio kukubali kuwa surbodinate, kuna vitu vya kipuuzi sana, et mwanaume anaogopa kuachwa, ndo anafanyishwa vitu vya kishamba.