True. Saa hii unakutana na binti wa kawaida kabisa,ukimuapproach kitu cha kwanza kwenye akili yake ni kukutreat kama slave wake ili uanze kusimp kwake.Inatakiwa tuje na #tag kabisa kuonesha msisitizo kwa hili..simp wanaaribu sana akili za hawa wa upande wa pili...mbaya zaid wanajiaribia wenyew...based on my experience...nilijifunza ila in hard way...nlipoona huu uzi ndo umenikumbusha
Simpe imekaa kiwaki.Ni typing error. Hata hivyo simp ni kifupisho cha simpleton au simple, so kama ni kuita kwa kiswahili ni labda kutohoa kwa kuita simpo.
Kijana acha usimp. Unaona sasa kitu cha kwanza umewaza ni kuwa unaingia kwenye mahusiano ili kupata utupu wa mwanamke. Unaona namna umerogeka vizuri na kuwa chronic simp?Cha muhimu mleta uzi kuwa member mwaminifu wa CHAPUTA ili uondokane na shida ya wanawake. Haya maisha kila mtu ana namna yake ya kuyaishi.... pia kila mtu ana namna yake ya kupata papuchi ili mradi havunji sheria. Suala la mwanaume kupambania papuchi ni nature labda tu kama mtu ana matatizo binafsi hasa ya kiafya. Wewe kama kuna mwanamke alikutenda lipiza au samehe badala ya kuja kusimanga watu.
Cha muhimu mleta uzi kuwa member mwaminifu wa CHAPUTA ili uondokane na shida ya wanawake. Haya maisha kila mtu ana namna yake ya kuyaishi.... pia kila mtu ana namna yake ya kupata papuchi ili mradi havunji sheria. Suala la mwanaume kupambania papuchi ni nature labda tu kama mtu ana matatizo binafsi hasa ya kiafya. Wewe kama kuna mwanamke alikutenda lipiza au samehe badala ya kuja kusimanga watu.
Cc MamaSamia2025True. Saa hii unakutana na binti wa kawaida kabisa,ukimuapproach kitu cha kwanza kwenye akili yake ni kukutreat kama slave wake ili uanze kusimp kwake.
Hii mentality ni kutokana na idadi kubwa ya masimp waliotangulia kujenga mtazamo kuwa ili kuanza mahusiano na mwanamke lazima akutengenezee mazingira ya chenga chenga za kipuuzi na asiwe direct. Ila wakati yeye yupo indirect kwako anataka wewe uwe direct kwake kwa kufanya kile anachotaka.
Usimp ni mfumo ambao unatengeneza misingi ya hovyo hata kwaajiri ya ndoa.
You will be fine.... you wil be fine.Sisi hatujakukatia tamaa, jitahidi uikane nafsi yako japo kwaajiri ya watoto wako. Achana na kusimp mzee. Kuacha kusimp haimaanishi kuacha kufanya mahusiano. Na hapa ndipo shida ilipo.
Kuacha kusimp maana yake ni kuingia katika mahusiano responsibly. Hivi hauoni raha unakuwa na mwanamke ambaye anakuheshimu kama vile akikupoteza maisha yake yataishia kwako?
Yaani upate mwanamke ambaye anajali zaidi kulinda na kutetea uchumi wako kuliko kuutumia wakati akitafuta mwanaume mwingine wa kureplace baadae.
Halafu usichojua ni kwamba sio kwamba ukiwa na hela hauta simp, utaendelea kusimp hata ukiwa billionaire shida ni kwamba utakuwa unakutana na wanawake ambao hawakuheshimu kila unapowafuata wanakuona kama kituko cha kuchezewa. So mwisho wa siku utaishia kununua mitumba kwa bei ya dukani na ipo out of fashion na out of quality plus ukivaa unaonekana live ni mshamba.
Unahisi ni ujanja ila wewe kama mwanaume inakuharibia na wanawake inawapa wrong impressions kuhusu wanaume.
Acha kusimp kijana. Fanya mahusiano kikawaida. Unaweza pata mama nzuri tu bila kusimp. Wanawake wanawachukia masimp ila wanawatumia tu kwa faida zao lakini moyoni hawapo wala akilini hawapo. Kataa kuwa simp.
View attachment 3451018
Kataa usimp tunza kibunda chako..hawa hawana shukranTrue. Saa hii unakutana na binti wa kawaida kabisa,ukimuapproach kitu cha kwanza kwenye akili yake ni kukutreat kama slave wake ili uanze kusimp kwake.
Hii mentality ni kutokana na idadi kubwa ya masimp waliotangulia kujenga mtazamo kuwa ili kuanza mahusiano na mwanamke lazima akutengenezee mazingira ya chenga chenga za kipuuzi na asiwe direct. Ila wakati yeye yupo indirect kwako anataka wewe uwe direct kwake kwa kufanya kile anachotaka.
Usimp ni mfumo ambao unatengeneza misingi ya hovyo hata kwaajiri ya ndoa.
Kwahiyo hapa kijana anatofautisha vipi hiyo "usimp" na ukarimu kwa mpenzi au mke wake? Maana kuna vijana wamebeba mazima kana kwamba kuwasaidia wake au wapenzi wao ni fedhea. Unakuta kijana ana uwezo wa kumsaidia mtu wake ila hawafanyi hivyo kwa fikira za kwamba ni kutumikishwa.Moderators naomba mnisaidie kuedit kichwa cha habari au heading ya uzi isome "Usimp sio Usimpe"
Japo nadhani mwanaume anaweza kumsaidia kwa vyovyote vile awezavyo mke au mpenzi wake. Ila sio kukubali kuwa surbodinate, kuna vitu vya kipuuzi sana, et mwanaume anaogopa kuachwa, ndo anafanyishwa vitu vya kishamba.Kwahiyo hapa kijana anatofautisha vipi hiyo "usimp" na ukarimu kwa mpenzi au mke wake? Maana kuna vijana wamebeba mazima kana kwamba kuwasaidia wake au wapenzi wao ni fedhea. Unakuta kijana ana uwezo wa kumsaidia mtu wake ila hawafanyi hivyo kwa fikira za kwamba ni kutumikishwa.
Cha muhimu mleta uzi kuwa member mwaminifu wa CHAPUTA ili uondokane na shida ya wanawake. Haya maisha kila mtu ana namna yake ya kuyaishi.... pia kila mtu ana namna yake ya kupata papuchi ili mradi havunji sheria. Suala la mwanaume kupambania papuchi ni nature labda tu kama mtu ana matatizo binafsi hasa ya kiafya. Wewe kama kuna mwanamke alikutenda lipiza au samehe badala ya kuja kusimanga watu.
Hakuna haja ya kuwashambulia sana wanaume wenzetu. Mambo ni mengi kwenye hii duniaNaona kijana unacheza na akili yangu, kumbe ulishakuwa mwanaharakati kitambo sana ila basi ulikuwa unanipima misuli๐๐๐ mizimu imenionyesha uzi wako ukiwa unatema nondo za kutosha.
Nimefurahi sana kujua kumbe kijana elimu unayo ila ulikuwa unamtest sensei kuona kama anajua kuzichapa ama vipi.
Huo apo uzi wako nimeushare usome kidogo kurefresh memory.
Vijana wengi sio dhaifu (Simps) tatizo ni mitishamba
Tukitoa changamoto zingine zinawaandama vijana wa kiume ila hili la kuwa dhaifu (simp) kwa wapenzi wao ni changamoto inayozidi kuwa kubwa. Vijana wengi wamepoteza mwelekeo na kujikuta kwenye majuto baada ya kuingia kwenye mahusiano na wanawake makatili. Huku mtandaoni kumekuwa na wanaharakati...www.jamiiforums.com
Nadhani nimegusia ila kwa juu juu sana namna gani kijana atajiengua kutoka kwenye usimp na kuwa mtu wa kawaida au tuseme gentleman kwa wanawake.Kwahiyo hapa kijana anatofautisha vipi hiyo "usimp" na ukarimu kwa mpenzi au mke wake? Maana kuna vijana wamebeba mazima kana kwamba kuwasaidia wake au wapenzi wao ni fedhea. Unakuta kijana ana uwezo wa kumsaidia mtu wake ila hawafanyi hivyo kwa fikira za kwamba ni kutumikishwa.
Hakuna anaemshambulia mtu hapa. Tunakemea tabia ambayo ina madhara. Au unafurahia ukisikia kijana amejinyonga chuoni baada ya kumfumania demu wake.Hakuna haja ya kuwashambulia sana wanaume wenzetu. Mambo ni mengi kwenye hii dunia
Kama vipi jitenge na mfumo wao hao watu jenga mfumo wako kisirisiri uweke life lako lije kuwa tofauti.Daah! Kupitia andiko ili nimegundua ding nae ni simp tu, ma bro nao ni simp na kweli kuna shida kubwa vitu vinakataa familia inayumba vibaya sana