Kijana ufahamu usimpe na madhara yake ili ujiepushe

Simpletons wote wachapwe viboko vya kuuma! Wapumbavu kabisa!
 
Demu akikuomba hela, ukimzingatia sana, ondoa sifuri moja kwenye kiasi husika. Na hicho kiasi utachompatia kisizidi tarakimu 5.
Pia ni mwiko kumpa demu zaidi ya Elfu 15.
 
Cha muhimu acha matusi.
Hakuna tusi hata moja hapo mkuu amejibiwa kama alivyokuja
Hajatukanwa hata kidogo.

Tumetembea na lugha kinaifu sio lugha ya matusi.
Tusi ni Taahira ila kichwa wazi sio tusi ni lugha kinaifu japo lengo ni kufikisha ujumbe ule ule kama wa tusi ila sio tusi.
 
Una chembechembe za usengenyaji. Karibu kila mwanaume ana kisa chake cha kumuumiza kwenye harakati za mapenzi ila wachache kama wewe ndo huwa mnaendeleea kulialia hovyo na kuwasema wenzenu.
Bado sijalewa what is your main point hadi sasa, am struggling kukuelewa.
 
Kijana amechagua kuwa simp mimi nashangaa sana inakuwaje kunakuwapo watu wa namna hii ambao anaona tatizo halafu anagombana na anaelizungumzia.
Halafu huwa inaniumiza kichwa pale anapotokea mtu hajaelewa content iliyomo kwenye kila hoja lakini anakuja mbio mbio kujibu hoja zaidi ya saba kwa mpigo na content ambayo hata kwenye mada haihusiani na hoja hata moja.
Yaani amekariri kuwa popote atakapoona kijani basi ujue huyo ni CCM au YANGA.
Au akiona kaki tu amekariri kuwa ni CHADEMA.
Kuna siku Polisi atamshushia rungu polisi mwenzake kisa tu kavaa kaki mkanda umejificha na kampa mgongo.
Mentality za watu wengi ziko shallow sana.
Hawapo makini kabisa..
 
Demu akikuomba hela, ukimzingatia sana, ondoa sifuri moja kwenye kiasi husika. Na hicho kiasi utachompatia kisizidi tarakimu 5.
Pia ni mwiko kumpa demu zaidi ya Elfu 15.
Nimeipenda hii expert wangu
 
Safi saaana ✍️
 
Hii inatakiwa kuprintiwa then kila mwanaume apewe nakala.
 
Mmeanza kuja...!
 
True ni shida ya kushindwa kujitathimini badala ya kuzingatia ukweli mtu anajiumbia uongo kichwani halafu anaamini utakuwa ni ukweli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…