Kijana ukihonga elfu kumi kumbuka haya yafuatayo

Kijana ukihonga elfu kumi kumbuka haya yafuatayo

MKATA KIU

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2010
Posts
3,410
Reaction score
8,184
1. Ni bei ya Samaki kilo moja
2.Ni bei ya kuku wa nyama mmoja na chenchi inabaki
3.Unatoa mikeka 10 ya buku kwa mhindi
4. Sukari kilo 3
5. Dona kilo 4
6. Mchele super kilo 4
7. Maziwa ya Ng'ombe lita 4
8. Soda take away 10
9. Luku unit 28
10. Tofali za ujenzi 10
 
1. Ni bei ya Samaki kilo moja
2.Ni bei ya kuku wa nyama mmoja na chenchi inabaki
3.unatoa mikeka 10 ya buku kwa mhindi
4.sukari kilo 3
5.dona kilo 4
6.mchele super kilo 4
7.Maziwa ya Ng'ombe lita 4
8.soda take away 10
9. Luku unit 28
10. Tofali za ujenzi 10
🏃🏃🏃 Haaahaa 😅 ngoja tutunze vibundaa
 
katoto ka 2004 kanaitaka hio
ten kmmk
Screenshot_20250206-161549.jpg
 
1. Ni bei ya Samaki kilo moja
2.Ni bei ya kuku wa nyama mmoja na chenchi inabaki
3.unatoa mikeka 10 ya buku kwa mhindi
4.sukari kilo 3
5.dona kilo 4
6.mchele super kilo 4
7.Maziwa ya Ng'ombe lita 4
8.soda take away 10
9. Luku unit 28
10. Tofali za ujenzi 10
Usisahau Elfu 10 ni nauli kutoka Morogoro to Dar es salaam
Morogoro to Dodoma 😂
 
Ewe mwanaume kabla ya kumpa mwanamke ambaye siyo mkeo fedha au zawadi yoyote.

hakikisha ume jipa wewe vitu hivyo Mara 10 yake, maana hivi viumbe baadhi ni chuma ulete.

Kumbuka si wa kwako ni zamu yako tu kuichapa usiku na mchana.
Nakubaliana na ww Mkuu wa kitengo cha MWANAUME KATAA NDOA ULINDE KIBUNDA CHAKO.
 
Sio kuhonga ni kumuhudumia mpenzi wako.

Mbona Wazee tunahudumia,

Lazima kuhakikisha msichana wako ameenda Saluni, umemnunulia gesi, umemlipia kisimbuzi, umemlipia Kodi ya nyumba bila kusahau kumlipia Kikoba, maana bila hivyo hautaweza kupewa vya uvunguni 😜

NB; Jikune Mkono unapofikia
 
Kwa vile hamna cha kupoteza
 
We mzee hao mademu wa zama zenu wali kuwa committed, na smart upstairs bhana.

hata uki muhudumia una jiona fahari kufanya hivyo, siyo hawa wa siku 2-3 tayari ana matatizo mengi yasiyo eleweka.

Yaani una hudumia, kumbe Kuna mwana ana pewa bure kisa ana mchekesha chekesha ukiwa kazini 🤣😂
FB_IMG_17383245768465152.jpg
 
1. Ni bei ya Samaki kilo moja
2.Ni bei ya kuku wa nyama mmoja na chenchi inabaki
3.unatoa mikeka 10 ya buku kwa mhindi
4.sukari kilo 3
5.dona kilo 4
6.mchele super kilo 4
7.Maziwa ya Ng'ombe lita 4
8.soda take away 10
9. Luku unit 28
10. Tofali za ujenzi 10
Nakumbuka katika Chama changu cha UWABATA ( Umoja Wa Wanaume Bahiri Tanzania )sheria moja wapo ya UWABATA kifungu namba 246 kinasema

USIMUHUDUMIE MWANAMKE AMBAYE BADO HAUJAMUOA.
 
1. Ni bei ya Samaki kilo moja
2.Ni bei ya kuku wa nyama mmoja na chenchi inabaki
3.unatoa mikeka 10 ya buku kwa mhindi
4.sukari kilo 3
5.dona kilo 4
6.mchele super kilo 4
7.Maziwa ya Ng'ombe lita 4
8.soda take away 10
9. Luku unit 28
10. Tofali za ujenzi 10
Hapo ndo vijana mnapofeli, utasikia kitoto cha 2000 kinasema Nina mubaba wangu! Ujue kakikihoa tu fifty.
Mwanaume ukiwa huna hela mwanamke anakuona tàkataka tuu.
 
Back
Top Bottom