Kijana ukihonga elfu kumi kumbuka haya yafuatayo

Kijana ukihonga elfu kumi kumbuka haya yafuatayo

Huyu anauza indirect,,,unapangwa
najua kupangua gia mkuu...
Screenshot_20250206-164432.jpg
 
Sio kuhonga ni kumuhudumia mpenzi wako.

Mbona Wazee tunahudumia,

Lazima kuhakikisha msichana wako ameenda Saluni, umemnunulia gesi, umemlipia kisimbuzi, umemlipia Kodi ya nyumba bila kusahau kumlipia Kikoba, maana bila hivyo hautaweza kupewa vya uvunguni 😜

NB; Jikune Mkono unapofikia
Babu warudisheni jandoni vijana wako 😹
 
We mzee hao mademu wa zama zenu wali kuwa committed, na smart upstairs bhana.

hata uki muhudumia una jiona fahari kufanya hivyo, siyo hawa wa siku 2-3 tayari ana matatizo mengi yasiyo eleweka.

Yaani una hudumia, kumbe Kuna mwana ana pewa bure kisa ana mchekesha chekesha ukiwa kazini 🤣😂
View attachment 3226956
Hahaha..............poleni sana Mkuu

Ndiyo maana ili kuepuka hayo, mnatakiwa muoe mapema

Mimi nakumbuka nilioa nikiwa na miaka 24, kufika 26 tayari nina first born
 
Kwa vile hamna cha kupoteza
Umesema sahihi, wengi wa Umri wetu tulishamaliza kusomesha pamoja na kumaliza majukumu mengine yote

Ila Kwa Vijana, nawashauri Bora waoe mapema

Wapate familia wakiwa Vijana, hii itasaidia kupunguza Matumizi yasiyo ya lazima ya Fedha zao (kuhonga) pia itasaidia kupata watoto wakiwa na nguvu

Siku hizi Kuna tatizo la kupungua Kwa nguvu za kiume miongoni mwa Wanaume wengi

Kwahiyo ukioa mapema, kabla hujafika miaka 42 tayari ulishamaliza kuzaa na Mke wako
 
KATAA NDOA wame nipa cheo Cha u katibu mwenezi 😂 😂
Vuka boda uende Kwa Chenge pale Bariadi, kaopoe binti mmoja wa kisukuma mrembo uanze naye maisha

Najua huwezi kukosa shilingi elfu 10 ya kumwachia ya kula Kila Siku

Wewe ukirudi kwenye utafutaji Jioni, unakuta amekuandalia Maji ya moto ya kuoga, na chakula Kipo mezani ili mle pamoja

Saa nne usiku mnavuka zenu mbingu na kwenda Dunia ya peke yenu mkitafuta watoto

Mkifikia miaka 40 mna watoto 4 na Uchumi imara 👊
 
Saa 4 nakuwa busy sana, kiufupi hii routine labda baadae sana 😂 🤣
 
Sio kuhonga ni kumuhudumia mpenzi wako.

Mbona Wazee tunahudumia,

Lazima kuhakikisha msichana wako ameenda Saluni, umemnunulia gesi, umemlipia kisimbuzi, umemlipia Kodi ya nyumba bila kusahau kumlipia Kikoba, maana bila hivyo hautaweza kupewa vya uvunguni 😜

NB; Jikune Mkono unapofikia
Unaweza ukamfanyia vyote hivyo na bado asikupe mkuu
 
1. Ni bei ya Samaki kilo moja
2.Ni bei ya kuku wa nyama mmoja na chenchi inabaki
3.Unatoa mikeka 10 ya buku kwa mhindi
4. Sukari kilo 3
5. Dona kilo 4
6. Mchele super kilo 4
7. Maziwa ya Ng'ombe lita 4
8. Soda take away 10
9. Luku unit 28
10. Tofali za ujenzi 10
Na kuhoga million 1.5 kila wiki? Hebu nipigie mahesabu kama vipi niache hii tabia
 
1. Ni bei ya Samaki kilo moja
2.Ni bei ya kuku wa nyama mmoja na chenchi inabaki
3.Unatoa mikeka 10 ya buku kwa mhindi
4. Sukari kilo 3
5. Dona kilo 4
6. Mchele super kilo 4
7. Maziwa ya Ng'ombe lita 4
8. Soda take away 10
9. Luku unit 28
10. Tofali za ujenzi 10
Wadada watapatashida kwa tathmini za namna hii.
 
Back
Top Bottom