Grahams
JF-Expert Member
- Mar 19, 2016
- 16,096
- 49,651
Watoto sio hadi saa 4 usiku, mkiamua unaweza kutoka ofisini saa 5 asubuhi ukaenda nyumbani mkapiga kimoja cha Kizee na mimba ikaingia kisha ukarudi zako Kazini 🤗Saa 4 nakuwa busy sana, kiufupi hii routine labda baadae sana 😂 🤣
Kuzaa mapema Kuna Faida nyingi, ukiwa mtu wa mishe mishe(biashara ) unaweza kukuta taratibu umeanza kumrithisha baadhi ya majukumu ya kiofisi mwanao wa kwanza
Siku unaumwa, yeye anaongoza Taasisi(Biashara)