Kijana ukihonga elfu kumi kumbuka haya yafuatayo

Kijana ukihonga elfu kumi kumbuka haya yafuatayo

Kwa kweli mna changamoto sana miaka hii

Mungu awasaidie

Vita mlizonazo ni vigumu kushinda pasipo msaada wa Mungu

Pelekeni kwake kilio chenu, mwambie Mungu unahitaji Mke wa namna gani

Kisha ukae unasubiri huku ukiendelea kuwafanyia screening hao marafiki zao wa kike ulionao
Amina.
 
Hahaha.....................wanasema maisha magumu, ndiyo maana wanaishi Kwa ku-bet

Hujaona hapo mmoja anasema shilingi elfu 10 anatengeneza mikeka 5 Kwa muhindi 🤗🙌
😹😹😹 Halafu ndo usubiri ndoa kwa mtu aliyegeuza betting ajira thubutuuu 🤣
 
😹😹😹 Halafu ndo usubiri ndoa kwa mtu aliyegeuza betting ajira thubutuuu 🤣
Labda akutane na Mwanamke ambaye anaweza kumbadirisha

Kuna Wanawake wanajua kumbadirisha Mume, unakuta Mume alikuwa mtu wa kushinda vijiweni baada ya Kuoa unakuta anaacha

Unakuta Mume alikuwa na kawaida ya ku-bet, baada ya Kuoa anaacha betting

Usiogope Mjukuu, take your Man home and make him the best Father to your kids
 
Sio kuhonga ni kumuhudumia mpenzi wako.

Mbona Wazee tunahudumia,

Lazima kuhakikisha msichana wako ameenda Saluni, umemnunulia gesi, umemlipia kisimbuzi, umemlipia Kodi ya nyumba bila kusahau kumlipia Kikoba, maana bila hivyo hautaweza kupewa vya uvunguni 😜

NB; Jikune Mkono unapofikia
 
Nakubaliana na hilo, swala la usaliti limekuwa kubwa miaka yenu hii

Sisi wengine tulibahatika Kuoa wasichana wenye hofu kidogo ya Mungu, kwahiyo familia zimetulia

Hata keshokutwa ikitokea Kuna Mzee mwenzangu anataka kumpiga mistari Bibi yenu, lazima aniletee taarifa kwamba Mzee mwenzako Xxxx anaomba mzigo

Kwa hili tu inaonesha ameridhika na maisha yetu pamoja na kile ninachompatia Kwa bed kwahiyo hajaona haja ya kufanya usaliti

Ukizingatia tayari tumezeeka now 🤗
wewe hata 50 huna nakuchora tu.
 
Hahaha.............Mzee mwenzangu mara hii umesahau gari bovu huvutwa na zima

Mimi hadi nifie kwenye kinanii 😜 (jokes)
Gari hili limekuwa scrapper, halifai tena, nitakuja kuaibika Mzee mwenzangu. Habari ya kubustiwa nusu saa mtoto anasikilizia mzigo ukae sawa sitaki tena🤣🤣🤣🤣japo mimi nikitaka ni 35+, hawa gen z nakuachia wewe🤣
 
Simple mwanamke anayekupenda kamwe hatokuonesha tamaa ya pesa wala kulialia matatizo kila Leo ukiona hivo jikatae mapema umwache aendelee kujiuza kwa wengine ambao anaona wanamfaa
 
Labda akutane na Mwanamke ambaye anaweza kumbadirisha

Kuna Wanawake wanajua kumbadirisha Mume, unakuta Mume alikuwa mtu wa kushinda vijiweni baada ya Kuoa unakuta anaacha

Unakuta Mume alikuwa na kawaida ya ku-bet, baada ya Kuoa anaacha betting

Usiogope Mjukuu, take your Man home and make him the best Father to your kids
Mimi mwanaume wa kumbadilisha sitaki, muda ni mchache aje akiwa na akili timamu..!!
 
Back
Top Bottom