Kijana ukihonga elfu kumi kumbuka haya yafuatayo

Kijana ukihonga elfu kumi kumbuka haya yafuatayo

Gari hili limekuwa scrapper, halifai tena, nitakuja kuaibika Mzee mwenzangu. Habari ya kubustiwa nusu saa mtoto anasikilizia mzigo ukae sawa sitaki tena🤣🤣🤣🤣japo mimi nikitaka ni 35+, hawa gen z nakuachia wewe🤣
Hahaha.............useme hao GenZ ni changamoto.

Ukifanya mchezo unaweza kufia eneo la tukio, anataka umpeleke round III wakati wenzao bila kumeza dawa za Presha Usingizi hauji 🙌
 
Screenshot_20250206-182504_1.jpg
 
Sasa sii ata bei ni maneno tuu yaweke hapa
Dollar elfu ishirini laki saba mia mbili na moja zidisha mamia elfu jumlisha mitano tena, weka na mitikashi million moja, kwacha million mia tano na rand elfu sabini, euro elfu kumi bitcoin elfu moja……. 😹😹🤣
 
Back
Top Bottom