kibobori mahoro
JF-Expert Member
- Dec 12, 2022
- 7,452
- 10,785
Imekaa vizuri, vijana mmeipata?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
na wanawake pia wapo wanatoa K kwa kutulazimishaTqtizo ni kuwa mnaandika tu humu, ila uhalisia mtaani ni tofauti kabisa. Wanaume, tena ambao wanatafuta kwa jasho sana ndio wanatoa senti zao za mwisho ili wanawake zao wafurahie maisha.
Dah mie nimetoka kuhonga 200k 😭😭😭😭😭1. Ni bei ya Samaki kilo moja
2.Ni bei ya kuku wa nyama mmoja na chenchi inabaki
3.Unatoa mikeka 10 ya buku kwa mhindi
4. Sukari kilo 3
5. Dona kilo 4
6. Mchele super kilo 4
7. Maziwa ya Ng'ombe lita 4
8. Soda take away 10
9. Luku unit 28
10. Tofali za ujenzi 10
Hongereni sana.Nakubaliana na hilo, swala la usaliti limekuwa kubwa miaka yenu hii
Sisi wengine tulibahatika Kuoa wasichana wenye hofu kidogo ya Mungu, kwahiyo familia zimetulia
Hata keshokutwa ikitokea Kuna Mzee mwenzangu anataka kumpiga mistari Bibi yenu, lazima aniletee taarifa kwamba Mzee mwenzako Xxxx anaomba mzigo
Kwa hili tu inaonesha ameridhika na maisha yetu pamoja na kile ninachompatia Kwa bed kwahiyo hajaona haja ya kufanya usaliti
Ukizingatia tayari tumezeeka now 🤗
siku 2 mbona ni kama mwaka yan unapotaka kujielezea tu Tayari umekwishaWe mzee hao mademu wa zama zenu wali kuwa committed, na smart upstairs bhana.
hata uki muhudumia una jiona fahari kufanya hivyo, siyo hawa wa siku 2-3 tayari ana matatizo mengi yasiyo eleweka.
Yaani una hudumia, kumbe Kuna mwana ana pewa bure kisa ana mchekesha chekesha ukiwa kazini 🤣😂
View attachment 3226956
Hahaha.................have dated bothManesi na madaktari try at your own risk.
Inatakiwa ukubaliane na kuchapiwa,wao kuchapiwa ni inshu ndogo sana.
sema c umestuka ni michezo iyona wanawake pia wapo wanatoa K kwa kutulazimishaView attachment 3226991
Mzee elimu ya darasani haija wahi kuwa Moja ya kigezo changu nyakati za kutafuta mwenza.Usihangaike na hizo degree, hakikisha unapata mtu sahihi tu
Ila kuwa na girlfriends japo 3 kisha unapick the right candidate
Huko Vijijini Kuna Wanawake wazuri tu ambao ukisema ukae nao, ni watii na wanajua kufanya vitu Kwa usahihi ukiwaelewesha
Kuna watendaji wa Vijiji/Mitaa/Manesi/Madaktari/Walimu n.k
Shukrani Mkuu, japo bado tunapumua, lolote linaweza kutokeaHongereni sana.
😂khaaa! Nimewaongelea watoto wa elfu 2, mimi wa 80 hainihusu hiyo.
Nimependa hiyo misimamo yakoMzee elimu ya darasani haija wahi kuwa Moja ya kigezo changu nyakati za kutafuta mwenza.
as long she is intelligent, ana hofu ya Mungu, muwazi na mshirika mzuri it's enough kwa upande wangu.
Maana binadamu hatuja kamilika, hivyo hayo mengine mna jengana kidogo kidogo.
Kuhusu sijui financial statement, zangu zita tosha kwa kuwa mimi ndiye kichwa Cha familia.
I have been a businessman since 18, nije kushindwa leo😂😂
Hahahaha...............uzuri wake, Wazee tunaweza kuoga Maji ya moto ama ya vuguvugu😂khaaa! Nimewaongelea watoto wa elfu 2, mimi wa 80 hainihusu hiyo.
😄 😄 sidhani,ila kwa hawa wetu,mmmh! ni changamoto, yaani inabidi sijui iweje,usaliti unafanya tusihudumie mazimamazima.Tuna hofu,hasa kwa hizi chalenji za mitandaoni zinavyotufunulia mambo,mmmh! inatisha sana.Shukrani Mkuu, japo bado tunapumua, lolote linaweza kutokea
Unakuta mtu anakuja kuchekupa at our 79s 🙌😜
hauja elewekasiku 2 mbona ni kama mwaka yan unapotaka kujielezea tu Tayari umekwisha
Umehonga tofali 200 za kupandisha chumba kimoja cha kodi ya elfu 50 kwa mwezi 😅😅😅😅😅😅Dah mie nimetoka kuhonga 200k 😭😭😭😭😭
Kwa kweli mna changamoto sana miaka hii😄 😄 sidhani,ila kwa hawa wetu,mmmh! ni changamoto, yaani inabidi sijui iweje,usaliti unafanya tusihudumie mazimamazima.Tuna hofu,hasa kwa hizi chalenji za mitandaoni zinavyotufunulia mambo,mmmh! inatisha sana.
Huyu ni muuzaji na anachekesha na kusikitisha.na wanawake pia wapo wanatoa K kwa kutulazimishaView attachment 3226991