🏃🏃🏃 Haaahaa 😅 ngoja tutunze vibundaa1. Ni bei ya Samaki kilo moja
2.Ni bei ya kuku wa nyama mmoja na chenchi inabaki
3.unatoa mikeka 10 ya buku kwa mhindi
4.sukari kilo 3
5.dona kilo 4
6.mchele super kilo 4
7.Maziwa ya Ng'ombe lita 4
8.soda take away 10
9. Luku unit 28
10. Tofali za ujenzi 10
Huyu anauza indirect,,,unapangwakatoto kwa 2004 kanaitakaView attachment 3226951
Usisahau Elfu 10 ni nauli kutoka Morogoro to Dar es salaam1. Ni bei ya Samaki kilo moja
2.Ni bei ya kuku wa nyama mmoja na chenchi inabaki
3.unatoa mikeka 10 ya buku kwa mhindi
4.sukari kilo 3
5.dona kilo 4
6.mchele super kilo 4
7.Maziwa ya Ng'ombe lita 4
8.soda take away 10
9. Luku unit 28
10. Tofali za ujenzi 10
Nakubaliana na ww Mkuu wa kitengo cha MWANAUME KATAA NDOA ULINDE KIBUNDA CHAKO.Ewe mwanaume kabla ya kumpa mwanamke ambaye siyo mkeo fedha au zawadi yoyote.
hakikisha ume jipa wewe vitu hivyo Mara 10 yake, maana hivi viumbe baadhi ni chuma ulete.
Kumbuka si wa kwako ni zamu yako tu kuichapa usiku na mchana.
Ukishaona mwanamke anaweka x kwenye s ujue tayari umeshakosea kuchagua mkekatoto kwa 2004 kanaitakaView attachment 3226951
Dadeki 🤣katoto kwa 2004 kanaitakaView attachment 3226951
Kwa vile hamna cha kupotezaSio kuhonga ni kumuhudumia mpenzi wako.
Mbona Wazee tunahudumia,
Lazima kuhakikisha msichana wako ameenda Saluni, umemnunulia gesi, umemlipia kisimbuzi, umemlipia Kodi ya nyumba bila kusahau kumlipia Kikoba, maana bila hivyo hautaweza kupewa vya uvunguni 😜
NB; Jikune Mkono unapofikia
We mzee hao mademu wa zama zenu wali kuwa committed, na smart upstairs bhana.Sio kuhonga ni kumuhudumia mpenzi wako.
Mbona Wazee tunahudumia,
Lazima kuhakikisha msichana wako ameenda Saluni, umemnunulia gesi, umemlipia kisimbuzi, umemlipia Kodi ya nyumba bila kusahau kumlipia Kikoba, maana bila hivyo hautaweza kupewa vya uvunguni 😜
NB; Jikune Mkono unapofikia
Nakumbuka katika Chama changu cha UWABATA ( Umoja Wa Wanaume Bahiri Tanzania )sheria moja wapo ya UWABATA kifungu namba 246 kinasema1. Ni bei ya Samaki kilo moja
2.Ni bei ya kuku wa nyama mmoja na chenchi inabaki
3.unatoa mikeka 10 ya buku kwa mhindi
4.sukari kilo 3
5.dona kilo 4
6.mchele super kilo 4
7.Maziwa ya Ng'ombe lita 4
8.soda take away 10
9. Luku unit 28
10. Tofali za ujenzi 10
We jamaa hii philosophy yako nimeipendaaEwe mwanaume kabla ya kumpa mwanamke ambaye siyo mkeo fedha au zawadi yoyote.
hakikisha ume jipa wewe vitu hivyo Mara 10 yake, maana hivi viumbe baadhi ni chuma ulete.
Kumbuka si wa kwako ni zamu yako tu kuichapa usiku na mchana.
Hapo ndo vijana mnapofeli, utasikia kitoto cha 2000 kinasema Nina mubaba wangu! Ujue kakikihoa tu fifty.1. Ni bei ya Samaki kilo moja