Kijana ukihonga elfu kumi kumbuka haya yafuatayo

Naomba wazee watunzwe na serikali iwalinde ni kama hazina ya taifa😂
 
I wish I could come accross you Sir!
 
Umezungumzia Vijana Wa Chermford Street Au Wa Buza Kwa Mpalange?Miaka 40 Huku Kwetu Watu Hawana Hata Kitanda.
 
Wewe usiyehinga una nyumba ngapi
 
Elfu Kumi ni kubwaaaaa sana
 
11. Vipochi manyoya viwili pale Riverside .
12. Vipochi manyoya vitatu na buku la nauli kwa wahaya.
13. Vipande 20 vya sabuni ya mche ya kigoma kwa wale watu wa besheni
14. Vikopo 20 vya mafuta ya baby care
 
Hahaha..............poleni sana Mkuu


Ndiyo maana ili kuepuka hayo, mnatakiwa muoe mapema

Mimi nakumbuka nilioa nikiwa na miaka 24, kufika 26 tayari nina first born
Baba yote hii ulikuwa unawahi nini mzee 24 nipo form two 🤣nagombania wali shule
 
Umezungumzia Vijana Wa Chermford Street Au Wa Buza Kwa Mpalange?Miaka 40 Huku Kwetu Watu Hawana Hata Kitanda.
Miaka 40 ukose Kitanda sio rahisi Mkuu,

Mimi nimenunua godoro langu la Sufi miaka ile ya zamani nikiwa na miaka 16

Nimefanikiwa kujenga Chumba changu cha Kulala cha udongo nikiwa na miaka 15

Kwahiyo Kwa Kijana wa miaka 40 kushindwa kununua Kitanda ni uzembe wa hali ya juu
 
Hayo mambo huku Afrika hakuna, Mwanamke utakayeingia naye kwenye mahusiano ni lazima umuhudumue

Otherwise lazima akupange foleni, na hivi ARVs hamna mbona faster unaunganishwa kwenye grid na kuaga mashindano
 
Shilingi 160,000 inatosha kumwachia Mkeo na akaibania Matumizi mkala hadi kufikia hata tarehe za katikati ya mwisho wa reli

Binafsi huwa nanunua Mchele/Unga/gesi/mafuta ya kupikia dumu la Lita 20/Viazi kwaajili ya Chipsi/Mayai trey 2 n.k

Kwahiyo unajikuta unakaa muda mrefu huombwi hela ya Matumizi

Ukiombwa inakuwa mara chache sana

Hiyo mbinu niliitumia wakati naanza maisha ya Kujitegemea DSM

Ilinisaidia sana kipindi kile

Yaani utaishiwa hela, lakini uhakika wa kula unao

Vijana wengi wanatumia kipato chao kikubwa kwenye kutombe**** hao Malaya pamoja na betting

Ukioa, unajikuta unaacha automatic
 
Mkuu ungesema mapema pale mlimani city kuna sehemu inaitwa Istanbul aisee walionifanyia wa central siwezi sema nilipasuka hela kwa ujinga wangu baada ya mrembo mmoja kukutana naye kipande ile aisee ngoja nipumzike kidogo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…