Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
Mtu dhaifu hujitutumua ili asionekane dhaifu.
Mtu maskini hujitutumua ili asionekane maskini.
Mtu asiye na fedha hujitutumua ili asionekane hana pesa.
Pia ni tabia za Kiafrika kila mtu kutoka kujionyesha si mnyonge.
Hizo picha za maeneo mazuri zisikupagaishe, hapo ni bar, restaurants, hotel n.k hawana hisa na hisa sehemu hata ya 0.1%.
Gari za kukodi kawe ziko nyingi tu, WENGINE ni gari za ndugu, rafiki au kazini kwao. Wengine ni mafundi wa magari wakitest wanakwenda nalo mpaka home kwao ili tu waonekane .
Wengine ni malaya. Unajua sifa ya malaya ni kupenda nguo za juu kidogo kama mtego kwa mabinti. Hawana cha maana mfukoni.
Sasa wewe ukiona mipicha unapagawa.
Usipozingatia malengo yako utakuwa chizi kweli.
Focus your target, ikiwezekana achana na mitandao au itumie panapobidi tu.
Be careful