Ndoa ni ukatili...Wallah sijaelewa hata
Wewe mbona umeoa hutaki na sisi tufaidiNdoa ni ukatili...
Ndoa ni jinai...
Hao uliowataja ndo waoaji?🤭🤭🤭🤭
Mie bado kijana mdogo wa miaka 21..🫣Wewe mbona umeoa hutaki na sisi tufaidi
Apostle kaona isiwe shida kajipigia pass mwenyewe!Mahudhurio yasipungue kanisani 😅 kondoo wanasakwa kwa udi na uvumba😅
Ukifika miaka 22 uoe kwa mujibu wa Sheria!Mie bado kijana mdogo wa miaka 21..🫣
Nishakucheck pm 😋Ukifika miaka 22 uoe kwa mujibu wa Sheria!
Kabisa wanadai hivyoHao uliowataja ndo waoaji?🤭🤭🤭🤭
Mchungaji anapaswa kuonja kondoo mkuuMahudhurio yakiwa mengi kwenye nyumba za ibada, watoto mtawazaa saa ngapi?
Nyoa kwanza hiyo midevu ka Osama!Nishakucheck pm 😋
Intelligent businessman njoo usome miongozo ya waoaji!Kabisa wanadai hivyo
Hiki ni nini..?
Mahudhurio yasipungue kanisani 😅