Mwizukulu mgikuru
JF-Expert Member
- Oct 21, 2021
- 5,715
- 13,739
Una hoja, lakini uswahilini ndio kuna supu za jero, maharagwe jero, pande la muhogo 100, yani ukiwa na buku uswahilini asubuhi breakfast unapata, ukiwa na buku mbili unapiga breakfast ya kifahari.Kijana unaepambana kimaisha ukipata acheni kidogo hama huko uswahilini,hasa hasa jiji daressalam, uswahilini ya daressalam ni milango ya kuzimu ..watu wamechoka, watu wamekata tamaa, Jana yao ni Bora sana kuliko Leo .. mwanyamala kwa kopa, manzese, tandika ..mbagara sehemu sehemu.. kuendelea kukaa uswahilini kunafunga liziki zako ..kumbuka uswahilini ndio sehemu pekee watu hushindana Kula vizuri Na hapana lingine wanalofikiria..
Nakazia! Gongolamboto, buguruni, mobondenibondeni kimara na mbezi acha kabisa! Uswahilini na uchawi ni nduguKijana unaepambana kimaisha ukipata acheni kidogo hama huko uswahilini,hasa hasa jiji daressalam, uswahilini ya daressalam ni milango ya kuzimu ..watu wamechoka, watu wamekata tamaa, Jana yao ni Bora sana kuliko Leo .. mwanyamala kwa kopa, manzese, tandika ..mbagara sehemu sehemu.. kuendelea kukaa uswahilini kunafunga liziki zako ..kumbuka uswahilini ndio sehemu pekee watu hushindana Kula vizuri Na hapana lingine wanalofikiria..
very very true ndugu.Shida ukianzisha familia uswahilini ni ngumu kuibadilisha hata ukihamia palipo tulia utajikuta familia yako bado inakua ya kiswahili swahili
Hapo hamna mlo ni kujaza tumbo tu na ukizoea hivyo unakuwa mtu cheap sana.Una hoja, lakini uswahilini ndio kuna supu za jero, maharagwe jero, pande la muhogo 100, yani ukiwa na buku uswahilini asubuhi breakfast unapata, ukiwa na buku mbili unapiga breakfast ya kifahari.
Sasa unapotaka wahamie wakati wanajitafuta wataweze breakfast za shilling 5000 na kuendelea?
Sio hivyo mkuu! Mimi mwenyewe wakati najitafuta geto langu la kwanza lilikuwa gongolamboto mzambarsauni! Si kwauswahili huo! Nikaamia sinza potelea mbali nikishindia mihogo chpsi dume! Uamuzi uu ulinisaidia sanaumesahau ulikotoka, hujui unakokwenda
umepata kiburi kuona kipato kimepanda
cc my chemchem ya furaha ephen_
Mkataa kwao mtumwa..Sio hivyo mkuu! Mimi mwenyewe wakati najitafuta geto langu la kwanza lilikuwa gongolamboto mzambarsauni! Si kwauswahili huo! Nikaamia sinza potelea mbali nikishindia mihogo chpsi dume! Uamuzi uu ulinisaidia sana
kabisa yani...Acha tunaokaa uswahilini tuache uzi wa watu.
Unakuwaje expensive wakati huna kitu bro?Hapo hamna mlo ni kujaza tumbo tu na ukizoea hivyo unakuwa mtu cheap sana.
I hate this proverb! Kwahiyo uendelee kufungwa na ufukara wa kwenu? Ukifika 30 jitengenezee background yako
ilikusaidia nini ulipohamia Sinza?Sio hivyo mkuu! Mimi mwenyewe wakati najitafuta geto langu la kwanza lilikuwa gongolamboto mzambarsauni! Si kwauswahili huo! Nikaamia sinza potelea mbali nikishindia mihogo chpsi dume! Uamuzi uu ulinisaidia sana
Ni maeneo ambayo ukiwa wewe ndo umekulia utaelewa kwanini wakizipata bado hawaamini.Kijana unaepambana kimaisha ukipata acheni kidogo hama huko uswahilini,hasa hasa jiji daressalam, uswahilini ya daressalam ni milango ya kuzimu ..watu wamechoka, watu wamekata tamaa, Jana yao ni Bora sana kuliko Leo .. mwanyamala kwa kopa, manzese, tandika ..mbagara sehemu sehemu.. kuendelea kukaa uswahilini kunafunga liziki zako ..kumbuka uswahilini ndio sehemu pekee watu hushindana Kula vizuri Na hapana lingine wanalofikiria..
Sio kuwa expensive kaka. Raise your standards sio unaweza ku afford kitu halafu eti unaishi kiuswazi kisa firigisi na supu za utumbo wa kuku.Unakuwaje expensive wakati huna kitu bro?
Mimi uswahilini sihami, kwanza wananishawishi niwe diwani wao, huko ushuwani kwenu ananijuwa nani?