Me kipindi najitafuta sikuwahi kukaa uswahilini na kiukweli ilinisaidia,
1. Nilikuwa nakutana na watu ambao walikuwa wanani inspire kufika walipofika, watu kama kina mama Tibaijuka, kamanda Tibaigana, nk
2. Nilianza kufukuzia pisi kali, zinazotoka familia ambazo kiukweli zinajiweza kwahyo ikawa rahisi kuepukana na hawa wavaa vijola. Hapa nilipata baby mama kadhaa ambao wanajielewa na walinisaidia kwa kiasi kikubwa kutimiza ndoto zangu kupitia connection za washua wao.
3. Nilijifunza kuishi in a civilized way ambayo washua wengi mjini wanaishi, inaleta wepesi kwenye kuchangamana na washua wengine hata kama unakutana nao sehemu tofauti.
4. Fursa za kazi nilizipata kwa urahisi kwa sababu maboss walikuwa wengi, ukikomaa ukapewa appointment tu, ushatoboa. Lazima hapa uwe mshiriki wa mambo ya kijamii kama jumuiya, misiba na shughuli zingine.