Kijana Usifanye Maisha na Aina hii ya Mwanamke!!

[emoji23][emoji23]awapi sasa huku unakoenda, unaenda kunitongozea mke wangu [emoji4] Nisha tupa kalata yangu [emoji1751][emoji1751]
 
Tatizo mademu wasiokua na mambo mengi na watiifu,,huwa wa ajabu ajabu machoni mwetu hawatuvutii hapo sasa ndo tunaingiaga mkenge.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Jah huwa hakupi vyote,
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nasisitiza "Tafuta hela"
 
Na hili ndio tatizo lenu kubwa,uzuri mnajua kabisa wapi mnakosea sema tu kichwa ngumu[emoji3]..
Mwanaume huwa anaona kabisa yani , ile miezi tu ya mwanzo ya mahusiano !! Ila ukiangalia pisi iko vizuri kuipresent kwa wana unakomaa !! Kumbe ukilala nayo ,ukaamka nayo kila siku ndo akili zinaanza kufunguka !!
Na kuchomoka hizi dini zetu , mwili mmoja blah blah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…