Kijana Usifanye Maisha na Aina hii ya Mwanamke!!

Kijana Usifanye Maisha na Aina hii ya Mwanamke!!

Yes.... btn the lines ..nakuona kama mwanamke ambaye anahitaji testosterone ya Very Strong Man simply because huonyeshi tu kua Mwanamke Mzuri mwenye kujiamin , Bali you are intelligent mpaka unaniogopesha.




Usimuendekeze mwanaume asiyeona Umuhim wa kukufanya ujihisi mwanamke Mwenye FURAHA Dunia nzima.
[emoji23][emoji23]awapi sasa huku unakoenda, unaenda kunitongozea mke wangu [emoji4] Nisha tupa kalata yangu [emoji1751][emoji1751]
 
Tatizo mademu wasiokua na mambo mengi na watiifu,,huwa wa ajabu ajabu machoni mwetu hawatuvutii hapo sasa ndo tunaingiaga mkenge.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Jah huwa hakupi vyote,
 
Huyo mtu yuko wapiii? Arusha ni moja ya mkoa ambao umeathiriwa sana kwenye maswala ya utalii sababu ya korona. Kwa macho yangu mwaka juzi nilioneshwa familia ambazo mke na mume wameachana sababu hali imekuwa tete. Kila siku ndani ni ugomvi . We muombe sana Mungu unavyopanda hata ukishuka usishuke sana maana atakayekuvumilia ni mamako tu hao wengine wote ni swala la muda tu. Anaweza asikuache lakini ukapatiwa msaidizi na mambo yakawa yanakwenda kibishi.
Mtoto wa kiume tafuta helaaaa ....nasema hiviii tafuta helaa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nasisitiza "Tafuta hela"
 
Na hili ndio tatizo lenu kubwa,uzuri mnajua kabisa wapi mnakosea sema tu kichwa ngumu[emoji3]..
Mwanaume huwa anaona kabisa yani , ile miezi tu ya mwanzo ya mahusiano !! Ila ukiangalia pisi iko vizuri kuipresent kwa wana unakomaa !! Kumbe ukilala nayo ,ukaamka nayo kila siku ndo akili zinaanza kufunguka !!
Na kuchomoka hizi dini zetu , mwili mmoja blah blah
 
Back
Top Bottom