Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 25,725
- 78,589
- Thread starter
- #141
Na usikubali tena kua foolI was a fool once, now i’m back to my senses.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na usikubali tena kua foolI was a fool once, now i’m back to my senses.
[emoji23][emoji23]awapi sasa huku unakoenda, unaenda kunitongozea mke wangu [emoji4] Nisha tupa kalata yangu [emoji1751][emoji1751]Yes.... btn the lines ..nakuona kama mwanamke ambaye anahitaji testosterone ya Very Strong Man simply because huonyeshi tu kua Mwanamke Mzuri mwenye kujiamin , Bali you are intelligent mpaka unaniogopesha.
Usimuendekeze mwanaume asiyeona Umuhim wa kukufanya ujihisi mwanamke Mwenye FURAHA Dunia nzima.
Pita kuleUzi bila picha huwa sisomi mimi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mchumba wa nn wkt utaolewa na nyapara uko uko jela[emoji3]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaaaaaahNdo uache kabisa, maana jela kule k-y haziruhusiwi.
Manyapara wanatumia KORIE[emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nipo salama kabisa mapenzi huwa hayanisumbui mimi kama wewe[emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka mbavu zinauma hapa."Mi mbona nipo fresh tu man mapenzi hayanisumbui wala nini.." KENZY uyo akilitolea ufafanuzi[emoji1787]View attachment 2117034
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Jah huwa hakupi vyote,Tatizo mademu wasiokua na mambo mengi na watiifu,,huwa wa ajabu ajabu machoni mwetu hawatuvutii hapo sasa ndo tunaingiaga mkenge.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nasisitiza "Tafuta hela"Huyo mtu yuko wapiii? Arusha ni moja ya mkoa ambao umeathiriwa sana kwenye maswala ya utalii sababu ya korona. Kwa macho yangu mwaka juzi nilioneshwa familia ambazo mke na mume wameachana sababu hali imekuwa tete. Kila siku ndani ni ugomvi . We muombe sana Mungu unavyopanda hata ukishuka usishuke sana maana atakayekuvumilia ni mamako tu hao wengine wote ni swala la muda tu. Anaweza asikuache lakini ukapatiwa msaidizi na mambo yakawa yanakwenda kibishi.
Mtoto wa kiume tafuta helaaaa ....nasema hiviii tafuta helaa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]awapi sasa huku unakoenda, unaenda kunitongozea mke wangu [emoji4] Nisha tupa kalata yangu [emoji1751][emoji1751]
Hakuna namna watafute hela[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nasisitiza "Tafuta hela"
Huko mbeleni ni kilio !Ndio maisha yalivyo. Hayana formula
Ile sentensi ya atabadilika aseee usiende nayo !! Jikaze mpige chini tafuta mnayeendanaDah[emoji23][emoji23]we jamaa umeongea ukwel mtupu
Mwanaume huwa anaona kabisa yani , ile miezi tu ya mwanzo ya mahusiano !! Ila ukiangalia pisi iko vizuri kuipresent kwa wana unakomaa !! Kumbe ukilala nayo ,ukaamka nayo kila siku ndo akili zinaanza kufunguka !!Na hili ndio tatizo lenu kubwa,uzuri mnajua kabisa wapi mnakosea sema tu kichwa ngumu[emoji3]..
Huyu anafaa kipare tunasema huyo tutonga na bajeti jChekini Mimi nilienae sasa..
View attachment 2116993
Ndo ninae sasaHuyu anafaa kipare tunasema huyo tutonga na bajeti j
Huyo hata ukimwambia mpike kande mle mchaja jioni na kiporo ahsubuhi anaelewa 🤣🤣Ndo ninae sasa