Kijana Usifanye Maisha na Aina hii ya Mwanamke!!

Kijana Usifanye Maisha na Aina hii ya Mwanamke!!

Carlos halafu ulimwambia ukweli napenda mwanaume mkweli hata aniambie ukweli uniumize lakini amesimama kwenye ukweli wake sasa kutana na wanaume waongo utajuta kwanza hawajiamini kabisa
Aahh Uongo ni mbaya sana kwenye mahusiano au kuanzisha mahusiano , kwa sababu mwisho wasiku unabomoa hapo mbele.

Ni Mara kumi umwambie MTU wazi kwanza, kisha mpe Dhamira yako ya kumuhitaji.

Akikubali poa ..akikataa Poaa.
 
Nipo salama kabisa mapenzi huwa hayanisumbui mimi kama wewe[emoji1787][emoji1787]
Sasa Kama hayakusumbui mbona unataka tudadavuliwe nasisi si utulie na huyohuyo umjue vizuri! Acha vurugu..😂
 
Mi mbona nipo fresh tu man mapenzi hayanisumbui wala nini..[emoji28]

"Mi mbona nipo fresh tu man mapenzi hayanisumbui wala nini.." KENZY uyo akilitolea ufafanuzi[emoji1787]
IMG_20210917_184023.jpg
 
Shukrani Carlos [emoji120][emoji120] nakupenda pia katika kitu huwa sikaribishi katika maisha yangu ni stress za mapenzi
Yes.... btn the lines ..nakuona kama mwanamke ambaye anahitaji testosterone ya Very Strong Man simply because huonyeshi tu kua Mwanamke Mzuri mwenye kujiamin , Bali you are intelligent mpaka unaniogopesha.




Usimuendekeze mwanaume asiyeona Umuhim wa kukufanya ujihisi mwanamke Mwenye FURAHA Dunia nzima.
 
Back
Top Bottom