Mimi nina mke ni takribani miaka 11 ila ni metenganisha pesa za mke wangu na zangu, zangu zina simamia majukumu yote ya familia bila kumtegemea huyu wife na lipa ada za wanangu nanua chakula cha fortnight, na fuel gari langu na nampa lifiti kila siku kazini kwake bila yeye kuchagia mafuta na aliniumi....... ni kikosa pesa nakaa ndani bila kumsemesha chochote anachangia sometime ila simuamambie ahsante sitaki mazoea ya kujishusha kwake.. ...mkuu na kushauri viapo vya kanisani viache uko uko madhabuhuni huku field mambo tofauti wanawake sio kabisa, kuna baadhi wana wasomesha ila mwishowe wana achwa kisa mme sio wa adhi yake.