Kijana usiingie kwenye ndoa kwa tumaini la kusaidiana na mkeo kifedha

Kijana usiingie kwenye ndoa kwa tumaini la kusaidiana na mkeo kifedha

Vijana wa jamii forum na ndoa..naishiagaa kuchekaa tuuu😅😅😅😅
 
Hakika, hii ilinitokea mwaka 2012, kama sio ule ujasiri wa kiume ambao si kila mwanaume anao ningefanya tukio lingelo nigarimu, hii ni kutokana na kuizingatia kauli ya mwanamke kwamba "wewe ndio mwanzo na mwisho kwangu , usiniache please, usiniumize please,nimeweka maisha yangu kwako, wewe ni zaidi ya baba yangu" na mengi mengi ya mna hio, sasa kama mwanaume unaamini na kuyazingatia na kuyaishi. L
Kesho unakuta amelala n mwanaume mingine na kuhamia kwake kabisa hai ya kua wewe ushaweka maisha yako kwake, ndio maana watu wanaua!!
Kwamba pamoja na yote akakengeuka[emoji38]
 
Unadhani kufukuza mwanamke wa kileo kirahisi hivyo unalo .Eti fukuza unaota enzi za mfumo dume zilishaondoka mtaburuzana mahakamani hadi ujute kuzaliwa na kumfahanu
Nilimburuza mwanamke mahakamani akatokomea hakuonekana tena
 
Huwezi kulazimisha mke akupenda hata siku moja kama yeye anaona pesa yake ende kujanga kwao, jambo hambalo huwezi kugundua kabla ya kumuoa, na ni ujinga kumpa talaka kisa hela yake inaishia kwao
Kwa akili hizi bado hauna akili za kuishi na mwanamke. Hivi mwanamke hadi anajenga kwao hujiulizi anajiandaa na kitu gani.....? Bro amka
 
Ndoa ni vita ya kihisia na akili , amesema mdau hapo juu.

Hii vita anaeumia zaidi ni mwanaume , wanaume tunaumia sana kwenye mahusiano na ndoa kwa ujumla, tunaumia kihisia zaidi kiakili na kisaikolojia.

Bado hatujaweza kujua mwanamke ni nani na tufanyeje ili tuwe na furaha nae.

Mwanamke anaweza kukusababushia maumivu tokea siku ile ulipoanza kumpenda akiwa kwao, unajipa moyo akiwa kwangu hali itatulia labda, inaamua kumuoa na kuishi pamoja hapo unafunguka mlango mwingine wa maumivu na inakua ni maumivu muendelezo.

Wabarikiwe sana wanawake kwa kua wametufanya wengi wetu kuinuka na wengi wetu kuanguka.

Wabarikiwe sana wanawake kwa kua wametufanya wengi wetu kuwa fahari na wengi wetu kuwa wanyonge.

Kama kungekuwa na uwezekano wa kushauri watu wasioe ningeshauri kwa kweli.
Ukishaweka akilini ndoa ni Vita utapata tabu. Na ni heri usioe, kwanini uumizwe na mtu uliyejuana nae ukubwani. Mwanamke humwelew mteme achana nae maswala ya vita hamko jeshini.
 
Impact ya 50/50 ishanza kuonekana kwenye jamii, hasa kwa vijana walio zalkwa kuanzia 1995 na kuendelea wengi wamekutana na mitaala hii ya 50/50, usawa wa kijinsia,haki sawa ,mwisho wa siku kifikra wanamfundisha mtoto wa kiume ajione yeye ana haki sawa na mwanamke.

Yaani walikuwa wanazani wanawakomoa wanaume, kumbe wanatengeneza kizazi kitakacho waumiza watoto wao wenyewe wa kike na ukizingatia sasa hivi jando na unyago tushapiga teke.

Ila ndugu zangu mtoto wa kiume hutakiwi kuifikiria wala kuipigia hesabau hela ya binti wa kike. Japo wana kelele zao 50/50 ,ila kaa ukijua wanawake sometimes huwaga hawajui wanacho kitaka hata akiwa na elimu gani.
 
Sahii kabisa
Mwanaume Kuitwa Kichwa Cha familia sio kua na uwezo wa kukuna pumbu TU asbh.

Bali Ni uwezo wa kumhudumia familia yako, ya wazazi wako, na wazazi wa mkeo[emoji4][emoji106]
Ndio maana hatuendelei
 
Nihudumie mpaka familia yake? Yeye hela zake anazitumia kwenye nini? Huyo ni mchoyo na hafai kuwa mke wangu kwa mtazamo wangu. Kama nahudumia kila kitu basi itabidi aache kazi awe mama wa nyumbani vinginevyo nampa talaka
 
Mkuu naelewa vizuri ila kwa jinsi maisha yalivyo sasa anything can happen. Una mke unaweza afford kumpeleka capetown fish market kila weekend, salon kali, gari ya kutembelea. We ni mchezaji wa kulipwa.


Mke yuko kwenye nafasi ya kusolve ila hafanyi hivyo. Would you be happy?
Naendelea kujifunza kutoka kwako mkuu.
 
Impact ya 50/50 ishanza kuonekana kwenye jamii, hasa kwa vijana walio zalkwa kuanzia 1995 na kuendelea wengi wamekutana na mitaala hii ya 50/50, usawa wa kijinsia,haki sawa ,mwisho wa siku kifikra wanamfundisha mtoto wa kiume ajione yeye ana haki sawa na mwanamke.

Yaani walikuwa wanazani wanawakomoa wanaume, kumbe wanatengeneza kizazi kitakacho waumiza watoto wao wenyewe wa kike na ukizingatia sasa hivi jando na unyago tushapiga teke.

Ila ndugu zangu mtoto wa kiume hutakiwi kuifikiria wala kuipigia hesabau hela ya binti wa kike. Japo wana kelele zao 50/50 ,ila kaa ukijua wanawake sometimes huwaga hawajui wanacho kitaka hata akiwa na elimu gani.
Na kibaya huo mfumo umefocus kumuinua mtoto wa kike na kumsahau mtoto wa kiume kumuandaa jins ya kuishi na huyo mwanamke na matokeo yake ndio Aya sasa
 
Na kibaya huo mfumo umefocus kumuinua mtoto wa kike na kumsahau mtoto wa kiume kumuandaa jins ya kuishi na huyo mwanamke na matokeo yake ndio Aya sasa
Na jamii yetu ya sasa hii inayo jifanya kwenda na wakati hawalioni hili na washa chelewa.
 
Kwa UELEWA WANGU!
Me ni mkristo
Ki bible mke analetwa kwangu kama msaidizi.
Sifa namba moja ya msaidizi ni KUJUA KAZI INAYOFANYIKA!
Huwezi kua msaidizi wakati hujui kitu unachosaidia
Mkeo anatakiwa akujue wewe 100%
Na wewe umjue yeye 100%

Kuna mistake moja inafanywa na wanaume wengi
Kuwaficha wake zao uharisia wao
Mke anaishi na mumewe lakini hajui a-z ya mume wake kama
Viwango na kipato,
Upatikanaji wake wa fedha’
Mazingira yake ya fedha’
Namna yake ya kupata fedha,
Balance ya fedha
Kiwango kilichopo
Malengo na mikakati ya familia kiujumla


Japokua kwa namna furani naweza kuunga mkono usiri hu wa wanaume kwa wake zao(kwa zile kabila zenazoaminika kuuwa wenza wao wakifanikiwa)

Ila kwa namna ya kawaida ni vyema mke akimjua memewe na akamuelewa ili wasaidianapo wawe wanafahamiana wao kwa wao sababu zao

Kuna mapungufu ya kimaisha na kininadamu ambayo hayo ni kawaida na ni vyema ukiyatambua kabla ya kuingia kwenye ndoa
Mfano
Uchoyo
Uchafu
Na mambo yanayohusiana na hayo

Je mkeo anajua uharisia wako? Au anakukadilia tu? Hafahamu na haelewi

Mwanamke ni financial mzuri sana wa fedha
Akijua malengo na mikakati yako anaweza kukusaidia hata ku control mambo ya nyumbani huku akikumbuka Target zenu
Ila ikiwa anajua malengo yenu ila still yuko opposites hili ni janga kuu
Wajua kwanini ndoa zavujika kuliko zinazo fungwa ni kwasababu ya kua na high expectation wana ndoa, mke anafikira kutatua changamoto za pesa zake kutoka kwa mme, na mme anategemea ku-control finances za mkeo, hapo ndoa inashindikana, na lingine kutegemea mke kuzingatia bibulia kwenye ndoa jambo lisio wezekaba kabisa, waloke wameongoza kwa kushindwa ndoa kwanini wana taka kuleta myth zao za bibilia into realities, ndo maana wana shindwa ndoa.
 
Kwa akili hizi bado hauna akili za kuishi na mwanamke. Hivi mwanamke hadi anajenga kwao hujiulizi anajiandaa na kitu gani.....? Bro amka
Bro uliza wanao kuzidi umri wana wake wangapi wamejenga kwao au nyumba za wapangaji na mme kuja kugundua badaye, na hamfanye chochote.......hiyo sio sababu ya kumpa talaka na kuacha watoto bila mama, la muhimu nikujianda kisaikolojia kwa lolote usitegemee pesa ya mwana mke kama wataka kuishi maisha marefu
 
Kabla ujaingia kwenye ndoa rasmi jiakikishe una uwezo wa kifedha kuhudumia familia yako na wazazi wako pamoja na wamke wako kwa kiasi, otherwise ukienda na matumaini ya kuchangiana na mwanamke wako utakua disappointed bure na kua frustrated unabadilika kua mdokozi tapali jizi kwenye mali ya mkeo, utajaa wivu fitna kwa pesa ya mkeo ambao sio yako.(chako ni chetu chakwangu ni changu tu) hiyo ndo formula ya wanawake.

Kiasilia sie wanaume kazi yetu ni ku-pambana na kuhudumia familia zetu bila kuangalia kipato cha mkeo, akiamua kuchangia bora ni vizuri ila naturally wanawake ni selfish raha wataka wapate wao tu sio wengine, kwahiyo bora kujiandae mapema hiyo hali ikifika Ä·wako usivunje ndoa yako au kulalamika au kua mwizi ndani ya familia, msaada wa mwana mke kwenye ndoa ni just bonus sio lazima wanaume tutafuteni pesa tuache Umario kutegemea vya bure.
Mkuu zama zimebadilika, unaweza ukajikuta una 45+ na bado huelewi
 
Nihudumie mpaka familia yake? Yeye hela zake anazitumia kwenye nini? Huyo ni mchoyo na hafai kuwa mke wangu kwa mtazamo wangu. Kama nahudumia kila kitu basi itabidi aache kazi awe mama wa nyumbani vinginevyo nampa talaka
Mkuu hiyo ni fitina na wivu wakati unamuoa ulitegemea nani akusaidia kumhudumia, mahare tunao toa ishara tosha kwamba unauwezo wa kumhudumia ndo maana wenyewe hawatowi mahari.
 
Back
Top Bottom