Kijana usiingie kwenye ndoa kwa tumaini la kusaidiana na mkeo kifedha

Kijana usiingie kwenye ndoa kwa tumaini la kusaidiana na mkeo kifedha

Hata ukiwa nazo zinaishaga, kuzaraulika mara nyingi huwa pale anapokuwa nazo anakuwa mjanja mjanja siku zikiisha anatafuta huruma yakuheshimiwa.
Nikuambie bibie, na apa zikiasha nahama mji kiustarabu tu siwezi kuvumilia dharau za mwanamke mwenye ku nihudumia ntajifanya kuenda kutafuta maisha nje ya mkoa uko ndo ntapata wa level yangu.......... hamna mwanaumme anae lishwa na demu kwa mda na akaishi mda mrefu au asichanganyikiwi
 
Hao ni wa puuzi ukoo wa mkeo ni sawa sawa na ukoo wa mwana ume, kumbuka mwanaume ndo mkuu wa famalia lzma usimamie hao wazazi kwa kiasi
Niwachache sana, ndiyo maana wanawake hujaa chuki dhidi ya ndugu ya mme, yaani haya mafundisho kabla ya ndoa pamoja na wazazi wamejisahau sana kufundisha watoto kuhusu ndoa na familia kwa ujumla.
 
Nikuambie bibie, na apa zikiasha nahama mji kiustarabu tu siwezi kuvumilia dharau za mwanamke mwenye ku nihudumia ntajifanya kuenda kutafuta maisha nje ya mkoa uko ndo ntapata wa level yangu.......... hamna mwanaumme anae lishwa na demu kwa mda na akaishi mda mrefu au asichanganyikiwi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila kwa mke mwenye utimamu, kama mlikuwa vizuri na baadaye uchumi ukayumba sizani kama Mme atadharauliwa sana sana ni kuficha madhaifu watu wasijue.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila kwa mke mwenye utimamu, kama mlikuwa vizuri na baadaye uchumi ukayumba sizani kama Mme atadharauliwa sana sana ni kuficha madhaifu watu wasijue.
Sawa wapo ila swali muhumu for how long? Atakuvumilia women are very dynamic katika maisha.....siku atakae ona neno i love you [emoji180] kweye simu yako ndo utajua kwamba hawa uvumilivu hapo hapo atasitisha huduma zote kwako
 
Nimekuja kugundua mimi nna mke mzuri sana.

Kwenye kila kitu tunachofanya mke wangu hua anachangia kwa kadri ya uwezo wake bila maneno wala manung'uniko na wala bila kumwambia achangie.
 
Eti utafute pesa za kuhudumia familia yako na ya mkeo, kwani huyo mke anakuingizia kiasi gani mpaka ikulazimu kusaidia na kwao.?

Labda kama ananisaidia kwenye mbishe zangu la sivyo huko kwao ni hisani tu wala sio lazima. Na hii ni applied kwa kuoa familia zisizojiweza, naomba Mungu nisioe familia isiyojiweza kiuchumi.
 
Anayeweza kupangua hayo ni Mungu tu. Tumeshuhudia mtu ambaye aliaminika ni powerful jasiri wa michongo, muongoza njia ila alitandikwa na moja kubwa hadi hadi akatembeza bakuli.

Itakuwa mie ambaye hata sina million 1OO kwenye account [emoji23][emoji23][emoji23]
Mkuu uko sahihi asukuyumbishe witness,unachokisimamia ndio uhalisia wamaisha yandoa au mahusiano kwaujumla, haiwezekani mwanamke asiwe weze kuleta Tija Bali yy abaki Tu kama parasite,hapo lazima mwanaume uumie especially during hard times.
 
Mkuu mie naogopa sana kudandia mtumbwi wa vibwengo. Niko selective sana kwa wanawake 😂😂😂
 
Mkuu naelewa vizuri ila kwa jinsi maisha yalivyo sasa anything can happen. Una mke unaweza afford kumpeleka capetown fish market kila weekend, salon kali, gari ya kutembelea. We ni mchezaji wa kulipwa.

Siku moja umekosa kuwa re-signed inakubidi ukae mtaani uanze kutafta mkataba kwenye club nyengine. Yule mke mmekodi nyumba masaki, ashazoe raha once and for all.

How do you deal na hio situation, will you call it quits? Huna namna ya kuendelea ku afford gharama. How would you go about it? Hela ndio imekata unaskilizia msimu ujao huku ulichosave kinateketea tu.

Kitakachofata utajiingiza kwenye madeni tu na mwisho utaanza kulia lia kama mzee Yusuph.😂😂😂! Maisha yanend yakibadilika choose wisely. Kuna kuumwa, kuna kukosa kazi, kuna mambo mengi nje ya uwezo.

Mke yuko kwenye nafasi ya kusolve ila hafanyi hivyo. Would you be happy?
Hili lilimkuta yule jamaa mnyarwanda Ndikumana.
Alipiga mkataba Uturuki akaenda kuoa lile kahaba Uwoya kashuka nalo huko.
Maisha kule jamaa lazima awe provided accomodations na mambo mengine kibao so huyo mwajuma( uwoya) kaona raha si ndo hizi,maisha ndo haya.
Sidhani km aliwahi kwenda hata Kenya before.
Mara paap jamaa mkataba ukaisha,
Safari yabongo hiyo.
Waliporudi yule jamaa aliona rangi zote za dunia hii na mkewe.
Kajaribu mpira kwao wapi,demu huku ndo kwanza kafungulia koki.
Jamaa kaishia kufa kwa msongo wa mawazo.
Mpk leo Anachofanya huyo kahaba wote tunaona
 
Dah acha tu kuna mwamba nae amekuwa akipitiah
hio situation. Demu wake kagongwa sana yani na wahuni heshima ndani hakuna, akilalamika uko
upande wa kwa demu anaonekana hajielewi.

Mwisho amemtia mimba tena demu,bahati nzuri kaotea mkataba juzi kati so anarudi form ila kashajifunza kitu.
 
Kuna watu wavumilivu sana, mimi maskini jeuri sana
 
Wengine kilichotusukuma kuoa mapema Ni kunyandua.
Msione siku hizi wanawake wanapatikana kirahi, enzi zetu Hawa watu walikua adimu Sana.
Labda uchukue Malaya lkn pia enzi zile ukionekana umetembea na Malaya unadharaulika, Sasa kuepuka adha zote hizo ilibidi uvute jiko mapema.
Hii pia imetusaidia Sana. MTU hujafika 50 vijana wamemalizia chuo, mama Yao bado mbichiiiii
 
Mimi nina mke ni takribani miaka 11 ila ni metenganisha pesa za mke wangu na zangu, zangu zina simamia majukumu yote ya familia bila kumtegemea huyu wife na lipa ada za wanangu nanua chakula cha fortnight, na fuel gari langu na nampa lifiti kila siku kazini kwake bila yeye kuchagia mafuta na aliniumi....... ni kikosa pesa nakaa ndani bila kumsemesha chochote anachangia sometime ila simuamambie ahsante sitaki mazoea ya kujishusha kwake.. ...mkuu na kushauri viapo vya kanisani viache uko uko madhabuhuni huku field mambo tofauti wanawake sio kabisa, kuna baadhi wana wasomesha ila mwishowe wana achwa kisa mme sio wa adhi yake.
Ndoa sio mzigo kiasi hicho labda kama umeoa mwanamke ambaye hakupendi kwaiyo unatumia nguvu nyingi kumuimpress

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ondoa liability zote kwenye maisha yako akiwepo mwanamke hang arround with assets kuanzia friends mpaka lovers, if she dont support you even hata maombi hiyo ni liability kubwa
 
Mkuu naelewa vizuri ila kwa jinsi maisha yalivyo sasa anything can happen. Una mke unaweza afford kumpeleka capetown fish market kila weekend, salon kali, gari ya kutembelea. We ni mchezaji wa kulipwa.

Siku moja umekosa kuwa re-signed inakubidi ukae mtaani uanze kutafta mkataba kwenye club nyengine. Yule mke mmekodi nyumba masaki, ashazoe raha once and for all.

How do you deal na hio situation, will you call it quits? Huna namna ya kuendelea ku afford gharama. How would you go about it? Hela ndio imekata unaskilizia msimu ujao huku ulichosave kinateketea tu.

Kitakachofata utajiingiza kwenye madeni tu na mwisho utaanza kulia lia kama mzee Yusuph.😂😂😂! Maisha yanend yakibadilika choose wisely. Kuna kuumwa, kuna kukosa kazi, kuna mambo mengi nje ya uwezo.

Mke yuko kwenye nafasi ya kusolve ila hafanyi hivyo. Would you be happy?
Hapo tuu ndipo naonaga hamna maana ya kuoa....ukiteterema wao wanakubwaga mazima kama kunia la mahindi.
 
Kabla hujaingia kwenye ndoa rasmi jiakikishe una uwezo wa kifedha kuhudumia familia yako na wazazi wako pamoja na wamke wako kwa kiasi, otherwise ukienda na matumaini ya kuchangiana na mwanamke wako utakua disappointed bure na kua frustrated unabadilika kua mdokozi tapali jizi kwenye mali ya mkeo, utajaa wivu fitna kwa pesa ya mkeo ambao sio yako.(chako ni chetu chakwangu ni changu tu) hiyo ndo formula ya wanawake.

Kiasilia sie wanaume kazi yetu ni ku-pambana na kuhudumia familia zetu bila kuangalia kipato cha mkeo, akiamua kuchangia bora ni vizuri ila naturally wanawake ni selfish raha wataka wapate wao tu sio wengine, kwahiyo bora kujiandae mapema hiyo hali ikifika ķwako usivunje ndoa yako au kulalamika au kua mwizi ndani ya familia, msaada wa mwana mke kwenye ndoa ni just bonus sio lazima wanaume tutafuteni pesa tuache Umario kutegemea vya bure.
Kwa hiyo huu uzi ndo TACTICAL ya ule uzi wa OKWI kuhusu kumuibia mkewe 2 mil siyo?
 
Back
Top Bottom