Kijana usiingie kwenye ndoa kwa tumaini la kusaidiana na mkeo kifedha

Kijana usiingie kwenye ndoa kwa tumaini la kusaidiana na mkeo kifedha

Mimi nina mke ni takribani miaka 11 ila ni metenganisha pesa za mke wangu na zangu, zangu zina simamia majukumu yote ya familia bila kumtegemea huyu wife na lipa ada za wanangu nanua chakula cha fortnight, na fuel gari langu na nampa lifiti kila siku kazini kwake bila yeye kuchagia mafuta na aliniumi....... ni kikosa pesa nakaa ndani bila kumsemesha chochote anachangia sometime ila simuamambie ahsante sitaki mazoea ya kujishusha kwake.. ...mkuu na kushauri viapo vya kanisani viache uko uko madhabuhuni huku field mambo tofauti wanawake sio kabisa, kuna baadhi wana wasomesha ila mwishowe wana achwa kisa mme sio wa adhi yake.
Sasa hii ni ndoa au jela...so wats the point of having her around? Mbususu only? Which is ready available nowadays?
 
Mmh mwanaume ukintatein huu uselfish wa wanawake kwamba chako chetu changu n changu..nakuapia utakufa mapema na mapressure na magonjwa mengn ya moyo...kama mshakua mwili mmoja ni jukumu la kila mmoja mme na mke kuchangia maendeleo ya famili pasi kutegeana.
Umeoa? Wapo wanawake wachache, ambao watachangia. Lakini wengi hawatafanya hivyo. Mwanamke hata kama anafanya kazi na analipwa mshahara, bado anataka umpe nauli, pesa ya kula mchana, pesa ya saloon n.k.

Usipo mpa atatafuta wa kumpa.
 
Hao ni wa puuzi ukoo wa mkeo ni sawa sawa na ukoo wa mwana ume, kumbuka mwanaume ndo mkuu wa famalia lzma usimamie hao wazazi kwa kiasi
Una mitazamo ya kijinga sana, umefanywa bwege na ukoo mzima unataka kila mmoja aangukie huko

Sikia, kuna watoto wazuri hawana kazi tunawaacha na kuoa wafanyakazi ili kusaidiana. Bila hivyo tusingewaoa maana mwanamke anayefanya kazi ana changamoto kuliko mama wa nyumbani

Vilevile hatuoi ukoo, wewe endelea kuteseka na zigo lako la miba
 
Anunue chochote au anisaidie tu, kwa hiari yake ila siwezi kupanga majukumu yangu kwa kutegemea kipato cha mke wangu.
Hiari yake ya nini tena kama wewe ni mwanaume hutaki kusaidiwa bhasi nyumba haitakiwi kuishiwa hata kiberitiii...!! Huko ni kumtegea mkeo kijanjaa...
 
Hataki kabisa msaada wa kike, Sema huu mtazamo ni kama ngao tu ila sio dawa ya maisha.
Kesho akikosa maisha mkewe akiambiwa anunue chakula ndani akatae wakati bank ana akiba ya Milion 5 aanze kupiga kelele mwanamke ni mbinafsi...[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Hapana hivyo ndivyo ulivyomkuza wewe si ulidhani kila siku Utakuwa nacho haya pambana..
 
Hivi siku hizi kuna wanaume wakusaidia upande wa mke? Maana wengi wao husema hajaoa ukoo!
Haya mambo ya kusaidiana ndio yamepelekea familia zilizoendelea kutooa au kuolewa na masikini, kwani kabla Binti yao hajaolewa walikuwa wanaishi vip? Si waendelee na maisha yao walio zoea?
 
Haya mambo ya kusaidiana ndio yamepelekea familia zilizoendelea kutooa au kuolewa na masikini, kwani kabla Binti yao hajaolewa walikuwa wanaishi vip? Si waendelee na maisha yao walio zoea?
Kuna haja ya maandalizi ya vijana kupata soma la ndoa kabla hawajaingia kwenye ndoa, ndoa ni zaidi ya kuka tu na mke ndani lazima uwe tayari kubadilika kifkira na mitizamo yako, otherwise ndoa nyingi zitaendelea kufa, vijana wengi bado wana fikira za kusaidiwa na wake zao kwenye masuala ya kifedhe kuendesha familia loh.
 
Mimi nina mke ni takribani miaka 11 ila ni metenganisha pesa za mke wangu na zangu, zangu zina simamia majukumu yote ya familia bila kumtegemea huyu wife na lipa ada za wanangu nanua chakula cha fortnight, na fuel gari langu na nampa lifiti kila siku kazini kwake bila yeye kuchagia mafuta na aliniumi....... ni kikosa pesa nakaa ndani bila kumsemesha chochote anachangia sometime ila simuamambie ahsante sitaki mazoea ya kujishusha kwake.. ...mkuu na kushauri viapo vya kanisani viache uko uko madhabuhuni huku field mambo tofauti wanawake sio kabisa, kuna baadhi wana wasomesha ila mwishowe wana achwa kisa mme sio wa adhi yake.
 
Kuna haja ya maandalizi ya vijana kupata soma la ndoa kabla hawajaingia kwenye ndoa, ndoa ni zaidi ya kuka tu na mke ndani lazima uwe tayari kubadilika kifkira na mitizamo yako, otherwise ndoa nyingi zitaendelea kufa, vijana wengi bado wana fikira za kusaidiwa na wake zao kwenye masuala ya kifedhe kuendesha familia loh.

Baba ni provider period….hili swala la wamama kufanya kazi ni siku hizi mambo ya kisasa….mwisho wa siku mwanamume unabaki na msongo wa mawazo kisa huna hela na unamuona wife anapesa….unakinzana na nature…stress zingine tunajitakia wenyewe

Baba anaenda winda analeta nyumbani msosi mama anaandaa msosi wanakula…hii ni by DNA sio swala la kujadili…mwanamke ameumbwa kutunzwa…akifanya kazi ni mapenzi yake mwenyewe…ndio maana wenzetu waarabu bado wanakeep culture, wake zao wako home wanatunza watoto wao wanatafuta…ndoa zao kuvunjika ni kwa asilimia ndogo sana…
 
Nyie sikieni acheni kulishana ujinga.. mwanaume ukioa soma mazingira ya mkeo Kwanza na familia yake .. maana mwanamke akiwa na kipato kukuzidi familia yake macho yote kwako kuona unavojiombesha kwake na kutaka ukwamuliwe hapa dharau kibao na naomba ukikutana na familia kama huu usipende kwenda ukweni utadharauliwa na kutumwa kama mtoto,

Ila kama wako poa na mke wako ana mtazamo chanya kwako changamkia fursa kichwa kifanye kazi buni vitu vyamsingi ili akuamini, mwisho wasiku utajikuta mnaishi vizur na we unakuwa wa angalau kidogo.

Japo itajulikana kuwa umeinuka kwa msaada wa mkeo ila haiumizi saana.

Angalizo:
Wanaume wengi wakisaidiwa na wakezao alafu wakainuka kipato huaga wanadharau wake zao. Hi wakati mwingine ndio huwavunja moyo wake kusaidia waume zao kwani huwa na hofu juu ya hili Jambo

Usibadili chchte ukiinuliwa tafadhali.
 
Baba ni provider period….hili swala la wamama kufanya kazi ni siku hizi mambo ya kisasa….mwisho wa siku mwanamume unabaki na msongo wa mawazo kisa huna hela na unamuona wife anapesa….unakinzana na nature…stress zingine tunajitakia wenyewe

Baba anaenda winda analeta nyumbani msosi mama anaandaa msosi wanakula…hii ni by DNA sio swala la kujadili…mwanamke ameumbwa kutunzwa…akifanya kazi ni mapenzi yake mwenyewe…ndio maana wenzetu waarabu bado wanakeep culture, wake zao wako home wanatunza watoto wao wanatafuta…ndoa zao kuvunjika ni kwa asilimia ndogo sana…
Umepatia kibisa ukilazimisha kuenda kinyume na nature ndo mwishwo ndo kua namasingo maza wengi na kujaa mitaani, wanaumme vijana wakisasa wamebwetaka kwa kuhudumiwa na wake zao, hizo ndoa zinaka mda mfupi, mwanamke yoyote haiko tayari kukulisha mfulilizo kwa miaka 10, huo uvumilivu hawana, ni bora kujipanga mapema kabla ya kuingia kwenye huo mtaranga wa ndoa.
 
Sasa hii ni ndoa au jela...so wats the point of having her around? Mbususu only? Which is ready available nowadays?
Mkuu ndoa salama na ya Amani ni ile moja wenu kujitolea mambo mengine uwe kama mjinga, ndoa ni nusu jela lakini ni muhimu kabla ujafa, wenzetu sio wakuchezea ukigusa pesa zao na raha zao
 
Umepatwa na hasira kiongozi mpaka unaongea kimang'ati!
Ah mambo yanakera sana. Kuoa maana yake tusaidiane. Sioni point ya kuoa kama ni one way traffic tuu...yaani yeye kazinyake kutoa mbususu na tigo tuu? Kitu ambacho naweza pata kwa buku 20
 
Mkuu ndoa salama na ya Amani ni ile moja wenu kujitolea mambo mengine uwe kama mjinga, ndoa ni nusu jela lakini ni muhimu kabla ujafa, wenzetu sio wakuchezea ukigusa pesa zao na raha zao
Wacha mie niwagegede tuu.
 
Ah mambo yanakera sana. Kuoa maana yake tusaidiane. Sioni point ya kuoa kama ni one way traffic tuu...yaani yeye kazinyake kutoa mbususu na tigo tuu? Kitu ambacho naweza pata kwa buku 20
Sometime tuna oa kupata heshima na kuaminika kwenye jamii zetu, lakini hamna cha kusaidiana chochote ndoa ni one sided majukumu yote mengi ni nwanaume, wengine hata hiyo bususu unayo sema hawapati wana pangiwa ratiba yake sio kila siku
 
Back
Top Bottom