Kijana usijaribu kumsaidia binti jambo lolote au kiasi chochote cha pesa kama huyo binti si ndugu yako

ndo niko nataka niwaombe wajomba zangu hapa Watu8 Glenn na bamdogo Ngalikihinja
 
Hii nakazia kabisa usitoe pesa kwa kiumbe yoyote anaitwa mwanamke zipende pesa zako tu
 
Ila ni kweli, Mwanamke ni mbinafsi

Akipata wa zaidi yako anakusahau,yupo kwa faida za upande wake zaidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…