View attachment 3029631
Hili dogo nili likuta dukani home, nilienda nunua kitu.
Akaniona akaniuliza Bro una duka k.koo nikamwambia HAPANA, lakini maduka unayo nmeskia, nikamwambia NDIO.
Sasa Bro naomba nisaidie nipate kazi sina kazi yoyote, nikamwambia mimi kazi kwangu sina labda nikiskia nitakushtua.
Akaniomba namba nikampa (sikujua kama ni shoga mpka hapo)
Balaa likaanza alipoanza nitext, nikamuuliza kwa uzuri ili nijue kwanza kama anaweza nifaa..
Nikamuuliza Unaweza kitu gani au uko vizuri kwenye nini, uzoefu wako? Ndio majibu aloninibu hayo hapo juu kwa screenshot.
Tuliyoendelea kuchat walahi ni hatari maana nilikua nahisi NAOTA nikawa nataka nihakikishe kweli au si kweli nikawa nampa MADA hizo yaniii nayeye anajaaa.
Mwisho wa siku hili kenge likataka lije ndani linipikie chakula cha usiku..
Oyaaa bandugu zangu dunia imefika ze end ze ova...