The bump
JF-Expert Member
- Nov 22, 2019
- 1,488
- 2,908
Muulize vizuri
Kuna maelezo zaidi kwa huyu mwamba, nimemblock ila kanisaka hadi insta kaja niomba tuonane..anasumbua sio kawaida.
Nimempanga nipo lodge nika.wambia aingie sijui alienda wakamwambiaje maana sikuepo.
NIkajua atakasirika nilivyomdanganya ila wapiiiii ndio kwanza ananibadilishia namba tu.